No admission
JF-Expert Member
- Nov 26, 2011
- 215
- 68
Ahsante kwa ushauri mkuu!Mkuu usije tafuta mchawi wala nini mimi nilishakamatwa watoto wakapishana mwaka na miezi saba huwa inashtua lakini nikuleatu NO ABORTION
Poa mkuu!Kwa ufahamu wangu wa kibilojia,mama anayenyonyesha aweza pata mimba kwani hapo ni kazi ya vichocheo ama homone.Anaponyonyesha kuanzia mwezi wa pili mzunguko wa hormone(by negative feedback) unaruhusu yai kukomaa na hivyo likitoka laweza rutubishwa mara moja.
Kwa hiyo mkuu chukua hatua kwa faida ya mama,mtt na aliyetungwa kama tayari.
umesha mbemenda mtoto ra sivyo mwambie asiendelee kumnyonyesha.......