Mimi hainingii akili, kuwanyonya vipi damu? Mimi zamani nilikuwa nasikia eti ukiona kimbunga kinazunguka ukaweka ungo katika kile kimbunga utaona jini! Imami kama hizo zipo nyingi lakini hazina ukweli.
Ukweli katika jmabo hili ni huu hapa, miili ya watu wazima kuanzia 35 - 45 ina utofauti na mabinti wa miaka 20 - 34. Utofauti ni huu hapa mwanamke wa miaka 35 - 45 lazima atakuwa amezaa na hivyo maungo yake ni lazima yatakuwa yametanuka kidogo na kukomaa tofauti na 20 - 34, wengi huwa bado wana mng'ao wa ubinti.
Kisaikolojia wanawake hawapendi kuwavulia nguo wanaume waliowazidi hususzni ambao bado hawajaanza maisha ya ndoa na kuzaa wakiamini kuwa bado hawana stahimilivu na upeo mdogo wa kufikiri hususani kwenye mapenzi. Hivyo mama wa makao 35-45 akitembea na mtoto wa 20 -30 tena ambae hana familia wengi huishia kunangwa na hao vijana kwa kuona kwa sababu bado hawajaona mengi na utoto mwingi.
Lakini kutembea na mtu aliyekuzidi umri kidogo sioni shida yoyote bora uwe umekomaa na kujua maumbile ya watu wazima ni tofauti kidogo kimuonekano na mabinti.