Eti mboga saba

Point ni kwamba umechafua tu meza maana mboga zote saba unapata kirutubisho kimoja!
Duuuh unamaanisha kwenye hizo mboga saba anazonadi Mr blue hakunaga vipande vya kuku au maini roast? Bas ka'vipi nimeghairi sasa staki kurundika chainizi na matembele mezani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hapana, yawezekama yeye kaweka hivyo vopamde vya nyama, maini nk na pia yawezekana ya mboga saba yake ni moja ya majani, pembeni spinach, kule maini, hapa chicken etc
 
Kidogo umenishawishi, nilifikri zote ni sukumawiki tu,[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Duuuh unamaanisha kwenye hizo mboga saba anazonadi Mr blue hakunaga vipande vya kuku au maini roast? Bas ka'vipi nimeghairi sasa staki kurundika chainizi na matembele mezani[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…