Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

hata wewe domo lako linanuka kama shimo la choo...kula vizuri kuna uhusiano gani na domo kunuka-none sense

Hupati mapochopocho wewe.kitimoto,bia kidogo,salad ya kitunguu nyingi.We hilo tembele unalokula domo lako litanuka wakati tembele lenyewe halina harufu?
 
hahahaha usijinyonge bwanaaaaa tumia basi Listerine itakusaidia na pia jaribu kwenda kwa dentist akusadie zaidi kujua shida ni nini...pole sana aisee hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Basi ngoja nilie tuuu nitajinyonga siku nyingine.heee! haaaa! njo unibebelezeee! ohoooo!
 
aahahahaaaaa humu ndani kuna vituko kwa kweli daaaaa tumia asali mbichi
 
Usipatwe na kihoro wala usighadhabike.

Jifanyie tathmini ya usafi wa kinywa chako.

Huenda ukawa hukisafishi vizuri.

Usafi wa kinywa si kupiga mswaki tu!
Mata moja moja sukutua maji vuguvu yaliowekwa chumvi.. ukiweza piga piga mswaki ukiwa na Hydrogen peroxide (mouthwash) wala mara mbili kwa wiki hadi afya ya kinywa itengemae... punguza na kutwika Vibuku..
 
Aaah sasa mkuu unataka totoz waniogope,tangu lini nimekunywa Chibuku??
 
aaaargh kila mtu katumiwa msg ya kutukanwa na demu,kama unakosa kitu cha kupost bora utulie tu kuliko kupost vitu ambazo hazina mbele wala nyuma
 
Back
Top Bottom