Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,886
- 1,038
- Thread starter
-
- #61
hata wewe domo lako linanuka kama shimo la choo...kula vizuri kuna uhusiano gani na domo kunuka-none sense
hahahaha usijinyonge bwanaaaaa tumia basi Listerine itakusaidia na pia jaribu kwenda kwa dentist akusadie zaidi kujua shida ni nini...pole sana aisee hahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ptuuuu...ndo maana nasikia harufu mbaya,unatema mkuu
aahahahaaaaa humu ndani kuna vituko kwa kweli daaaaa tumia asali mbichi
Hata post zako ni kama bomba la choo
Mata moja moja sukutua maji vuguvu yaliowekwa chumvi.. ukiweza piga piga mswaki ukiwa na Hydrogen peroxide (mouthwash) wala mara mbili kwa wiki hadi afya ya kinywa itengemae... punguza na kutwika Vibuku..Usipatwe na kihoro wala usighadhabike.
Jifanyie tathmini ya usafi wa kinywa chako.
Huenda ukawa hukisafishi vizuri.
Usafi wa kinywa si kupiga mswaki tu!
tumia dawa ya dirtydent ni nzuri
Mata moja moja sukutua maji vuguvu yaliowekwa chumvi.. ukiweza piga piga mswaki ukiwa na Hydrogen peroxide (mouthwash) wala mara mbili kwa wiki hadi afya ya kinywa itengemae... punguza na kutwika Vibuku..
weka picha basi
hahahahah never
Na wewe ibada zako za miujiza ya uongo ni zaidi ya bomba la choo.
jinyongeee