Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Eti mdomo wangu unanuka kama bomba la choo

Albosignathus

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2013
Posts
4,886
Reaction score
1,038
Wana mmu.Nimepokea message kutoka kwa mpenzi wangu eti "mdomo wangu unanuka kama bomba la choo cha Feri ila eti hawezi kuniacha kwasababu anapenda jembe langu.Hapa nilipo nalia machozi,nimeshindwa kufanyakazi natamani nijinyonge! Nijinyonge au Niache kwa maana hilo tusi ni zito mno?? haaaa! heeee! hadi jembe langu limenuna!
 
hahaha hivi wanaume wanaolia lia mbona mi sina bahati nao
 
....akyanani lazima mate yako yatakuwa dawa ya dengue...!! dah kuna watu wanabahati....!!
 
Tafuna banzoka lakini angalia usijeozesha meno ikiwezekana nunua sugarfree chewing gum
 
Usipatwe na kihoro wala usighadhabike.

Jifanyie tathmini ya usafi wa kinywa chako.

Huenda ukawa hukisafishi vizuri.

Usafi wa kinywa si kupiga mswaki tu!


bad-breath-even-after-brushing1.jpg
 
looooo bomba la choo cha feri kivipi???

maana bomba linapita u.ground

na kamwe huwez kuona bomba la chooo

UNAONA SHIMO CHA CHOO

UMATUKANWA KWELI AU UMEJITUKANA???
 
Back
Top Bottom