Eti mi mchoyo

kwa sasa nipo poa kidogo mwezi May nilipata ajali mbaya sana ya gari nilipoteza fahamu kwa siku sita na nilipata mtikisiko wa ubongo bado jicho la kushoto halijatulia

Dah... This is serious.. Nimeku pm.

ha ha....Zimefika my dear, ni furaha kukuona umerudi 100% jf..nilikumisije?!!!

Ni furaha pia kukukuta Dearest... Kama kawa hizo lips zinawakilisha! lol, Missed you too mamie... tena kwa sana.

Beee HorsePower ...yaani wewe siyo mchoyo kabisa, wa salamu lakini...Asante kwa kufikisha salamu, AshaDii nashukuru kwa kunikumbuka..!

Hata mimi nime prove kuwa sio mchoyo :redface:
 
Kitakachofuata,ukiendelea kuwa mchoyo,ataanza kukuchunia!Ukifika Grocery,huduma zitaanza kusuasua mpaka uchukie!!!
 
Kwani ni lazima ukanywe kwenye hiyo glocery tu?Tafta glocery/bar nyingine ili uepukane na huyo jimama, hana lolote zaidi anataka tu dudu yako mana baadhi ya wamama wa siku hizi hamnazo kabisaaa!!
 
Sasa kama hutaki kumpa anachotaka je alafu unamnunulia pombe. Muulize anachotaka kama ukiwezi mwambie otherwise we mchoyo.

Double K, huyu mmama kaanza tena mambo yake.
 
acha uchoyo kaka,vizuri share na mwenzako
 
LOL bro wewe umekuwa kama tube light yaani umechelewa sana kumsoma.

Mkuu. Nilikuwa namheshimu sana kiasi kwamba sikuweza kufikiria kama anaweza kuja kunibadirikia namna hii. She is lucky mind set yangu imechange kabisa kwenye haya mambo ama sivyo ningekuwa nshachapa siku nyingi sana wala nisingeleta habari hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…