King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Hahaaaaaaaaaaaaa Tiririkaaaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Beee HorsePower ...yaani wewe siyo mchoyo kabisa, wa salamu lakini...Asante kwa kufikisha salamu, AshaDii nashukuru kwa kunikumbuka..!
kwa sasa nipo poa kidogo mwezi May nilipata ajali mbaya sana ya gari nilipoteza fahamu kwa siku sita na nilipata mtikisiko wa ubongo bado jicho la kushoto halijatulia
ha ha....Zimefika my dear, ni furaha kukuona umerudi 100% jf..nilikumisije?!!!
Beee HorsePower ...yaani wewe siyo mchoyo kabisa, wa salamu lakini...Asante kwa kufikisha salamu, AshaDii nashukuru kwa kunikumbuka..!
Toba, hata wewe Double K
acha uchoyo kaka,vizuri share na mwenzakoHuyu mmama ni jirani yangu wa muda mrefu sana,zaidi ya miaka mitano sasa, kwa kipindi chote hicho uhusiano wangu na yeye zaidi ya ujirani umekuwa ni salamu tu. Mwanzoni mwa mwezi huu nyumbani kwa jirani yetu mwingine imefunguliwa glocery hivo imekuwa kawaida yangu kwenda pale ama kupiga fundo la mwisho kabla sijaingia home, au kuuweka kabisa na kutandika castle rites zangu za baridi.
Glocery hii ndio imesababisha mimi na huyu mama kuwa karibu zaidi, sababu mara nyingi tunakutano hapo, karibia kila siku nikienda lazima nimkute anakula bata au yeye atanikuta, na kama kawaida tumekuwa tunasalimiana tu na mpaka sasa haijatokea tukakaa japo meza moja, sasa recently kaanza kunitupia shutma kwamba mimi mchoyo mimi mchoyo, nikafiriki anataka bia, juzi nimemkuta nikamsalimia alipomaliza kuitikia akaniambia lakini nipunguze uchoyo, nikamtupia bia mbili, jana nikamkuta tena akarudia hiyo kauli nikamuambia mi sio mchoyo sema serikali ya jakaya imeharibu uchumi akanambia namsingizia, nikajitoa muhanga nikamuambia basi ye anywe tu bill ntalipa mimi, jana tena nimekutana nae karudia kauli ile ile, as if sijamuonyesha uungwana na utoaji wangu hata mara moja.
Kuna mshikaji niliyekuwa naye nilimueleza hii kitu katika kujustify kumlipia bill yule mama, akacheka na kuniambia kweli nimebadirika. ndo nikafunguka, hivi inawezakana kweli huyu mama akawa anamaanisha namnyima mambo yenu yaleeee.
Kilichojiri
Jana huyu Mama kanipigia simu, alipopata number yangu sijui ananiomba faragha ya maongezi weekend nje kabisa ya wilaya ya kinondoni, na kwamba amenipigia mapema ili niweze kujiandaa na hiyo ratiba bila kukosa. Yaani alikuwa ananieleza as if she is mke wangu bila kuuma uma maneno. Nikamkubalia, najipanga jinsi ya kupangua na hii.
LOL bro wewe umekuwa kama tube light yaani umechelewa sana kumsoma.
Utawapa wangapi kaka?