Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Wapige marufuku na mawigi, rasta, pedi za wakubwa na za watoto na kondomHakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko.Nenda sokoni kanunuwe mboga,mihogo utapewa mfuko wa plastiki,chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
Mifuko ya plastic imerudi Jana nilifingiwa bidhaa Ndiyo umenikumbusha duuHakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko.Nenda sokoni kanunuwe mboga,mihogo utapewa mfuko wa plastiki,chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
Wewe unayejuwa towa elimu hapa.Haujui unachokiongea.
Ila kenya wamefanikiwaSema Ile project ilitupa heshima sana duniani na tulikuwa tunaelekea kupunguza chupa za plastic ila ndio hivyo tukaishia njiani
Kabla ya kuandika tafiti ujue unachotaka kukiandika.Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko.Nenda sokoni kanunuwe mboga,mihogo utapewa mfuko wa plastiki,chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
Unalialia wewe ukiwa wapi?Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko.Nenda sokoni kanunuwe mboga,mihogo utapewa mfuko wa plastiki,chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
Kwani ilipigwa marufuku mifuko aina zote?Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko. Nenda sokoni kanunuwe mboga, mihogo utapewa mfuko wa plastiki, chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
Plastiki zote.Kwani ilipigwa marufuku mifuko aina zote?
Nikiwa Nemc hapa DarπUnalialia wewe ukiwa wapi?
nasikitika kusema huna akili......Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko. Nenda sokoni kanunuwe mboga, mihogo utapewa mfuko wa plastiki, chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
nakumbuka nilishaishi nyumba moja na muinjilist jamaa alikua chenga sana siku moja usiku upepo umeleta ule mfuki mweusi basi nimeenda kukojoa nje nikauokota nikaweka kwenye dust bin .....Ila vile vimfuko vyeusi hapana vilikua too much, bora vilipigwa marufuku....
Na huu upepo wa june basi unatembea zako kwa maringo kimfuko kinapepea kinakuja kukuvaa kichwani.