Eti, mifuko ya plastiki marufuku!

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Utakuwa huelewi! Kuna thickness iliyoruhusiwa!
Lakini hata hii ya sasa haiozi Mana si naona kwenye maeneo mengi ipo tu.sasa hiyo thickness unayosema inasaidia nini ikiwa kutooza na kuchafuwa mazingira kupo pale pale?
 
Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko. Nenda sokoni kanunuwe mboga, mihogo utapewa mfuko wa plastiki, chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
Hivyo wanatukia kwa kisingizio cha vifungashio, ni muda dasa vifungashio vya plastiki nje ya viwanda rasmi vipigwe marufuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…