Eti mimba ya miezi 8 ukitumia kipimo cha Ultrasound huwezi kuona jinsia ya kiumbe?

Eti mimba ya miezi 8 ukitumia kipimo cha Ultrasound huwezi kuona jinsia ya kiumbe?

Acha ubishi. Hili sio jukwaa la siasa.

Nyinyi ndio mnasababisha wataalam wasitoe ushauri wa bure humu.

Be informed kwamba ultrasound ni kitu cha kawaida ndio maana kipo mpaka kwenye beauty salons.

Aiseeee beaty salons!!!! Sikua najua!!! Eheee!!!! Hebu tueleze mwanasiasa nguli na Daktari wewe!!! Wewe toa utaalam wako ila kila mtu atapima achukue lipi!!! Kila binadamu ana maamuzi yake!!! Mbona kila siku advocacy and publicity za gonjwa la ukimwi ziko on na maambukizi bado yapo? Kupanga ni kuchagua.
 
In any case you haven't convinced me!!! I will remain rigid, on this matter. Call me foolish, whatsoever, I do not care!! Who are you to influence me?? Whether a medical Dr. it is you not me!!!! Everyone is responsible for his/her own life, so is one's health. Leave me alone and keep one with your life. You will never influence me!!! Kila mwanadamu ataamua lililo jema kwa maisha yake!!!! So do I!!!

Tatizo lako hujui chochote umebaki ku-copy. na ku-paste kutoka google...Wewe ni wakuonewa huruma..
 
Kosa lako kwenye thread hii sio kuamini mambo ya uongo. Kosa lako ni kutoa taarifa za uongo kuhusu huduma ya afya.

Endelea kuwa rigid, hauko peke yako. Kuna wenzako walikuwa rigid wakawatoa wagonjwa hospitali kuwapeleka Loliondo.
 
Tatizo lingine la wabongo mpaka kwenye mtaalam wanaleta ubishi. Angeambiwa na mzungu angekubali.

Hili jukwaa wataalam wanalikimbia kwa sababu hii. Hii mara ya pili naona mtu anabishia wataalam wanaojitolea bure kusaidia wenzao.
Eti ultrasound ni kipimo kikubwa! Huyu hata hajui kwamba ultrasound zinatumika kwenye beauty salon.

Kama watu wa namna hii hawatadhibitiwa, jukwaa hili kutakuwa kama chit chat tu.

Wadau,
Tafadhali kwenye jukwaa hili toa maelezo uliyo na uhakika nayo na kama huna uhakika sema hivyo.

Ultrasound ni kipimo salama kabisa ndio maana sonographer hahitaji dosimetry.

Cc Invisible

huyo jamaa hana tofauti na filauni kwa ubishi halafu inakuaje mtu anapata confidence ya kubisha kitu ambacho hata ABC haijui?mbaya zaidi anaeleweshwa hataki kuelewa!!watu wa namna hiyo ni mzigo sana maofisini hadi ngazi familia na taifa
 
Kosa lako kwenye thread hii sio kuamini mambo ya uongo. Kosa lako ni kutoa taarifa za uongo kuhusu huduma ya afya.

Endelea kuwa rigid, hauko peke yako. Kuna wenzako walikuwa rigid wakawatoa wagonjwa hospitali kuwapeleka Loliondo.

ha ha hujakosea........umenikumbusha mbali.!!mtu anaenda Loliondo kwa matarajio ya HEPATOMA ipotee kwa kikombe kimoja cha babu
 
Tatizo lako hujui chochote umebaki ku-copy. na ku-paste kutoka google...Wewe ni wakuonewa huruma..

huyo jamaa hajui athari za google halafu ni limbukeni,much no for nothing he is so pathetic for sure !!
 
Kosa lako kwenye thread hii sio kuamini mambo ya uongo. Kosa lako ni kutoa taarifa za uongo kuhusu huduma ya afya.

Endelea kuwa rigid, hauko peke yako. Kuna wenzako walikuwa rigid wakawatoa wagonjwa hospitali kuwapeleka Loliondo.
Tena viongozi wako ndiyo walikuwa wa kwanza kupata kikombe cha babu!!!! Nao ni rigid kama mimi hawakupeleka matatizo yao kwa madaktari kama wewe??? Acha watu wafanye wawe huru na afya zako na si kuwa influenced na watu kama wewe mkuu. Taarifa nilizotoa si zangu, ni za wataalam!!! I just quoted them!!!! Sema najua ni kama kuweka mchanga katika vitumbua vya watu!!!!
 
Wakuu heshima kwenu...
Juzi nilipata malalamiko kutoka kwa binamu yangu, eti alikuwa anawasiwasi na ujauzito wake kua labda ni mapacha kwani tumbo lake ni kubwa mno, hivyo akaenda ktk hospitali moja ya serikali mjini Dar es salaam, baada ya vipimo ikaoneka sio mapacha ila alivyotaka kujua jinsia madaktari wakapima tena wakamjibu wameshindwa kuona jinsia kutokana na kwamba mimba ni ya miezi 8, na mtoto amekuwa mkubwa hivyo wameshindwa kuona jinsia, Je wanabodi ni kweli mimba ya miezi 8 hakuna uwezekano wa kujua jinsia ya mtoto kwa kutumia kipimo cha ultrasound.?

Huyo atazaa mtoto wa kike,watoto wa kike uwa wanabana miguu mimba ikaishakua kubwa ni ngumu kuona jinsia,ila wa kiume wanashindwa kubana miguu kutokana na maumbile yao,akijifungua uje utupe ushuuda mkuu
 
Sawa mkuu nitakuja kutoa ushuhuda hapa ondoa shaka....!!!!!
 
Tena viongozi wako ndiyo walikuwa wa kwanza kupata kikombe cha babu!!!! Nao ni rigid kama mimi hawakupeleka matatizo yao kwa madaktari kama wewe??? Acha watu wafanye wawe huru na afya zako na si kuwa influenced na watu kama wewe mkuu. Taarifa nilizotoa si zangu, ni za wataalam!!! I just quoted them!!!! Sema najua ni kama kuweka mchanga katika vitumbua vya watu!!!!

.
.
.
.
.
.
.
.
teh teh teh teh...........noma sana hah hah mpaka jk alikwenda,hadi pinda
 
Mkuu mimi umechemsha utabiri wako...!!!! Amejaaliwa kujifungua mtoto wa kiume mwenye uzito wa kg 4.
 
Inawezekana kabisa kujua jinsia. Ila kutokana na sababu za ki taalamu na kitabibu huwa hairuhusiwi kutoa taarifa kwa wahusika.
 
Tena tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwani alijifungua kwa njia ya kawaida.
 
Ultra sound ina mionzi mikali hivyo ina damage cells!!!! ni sawa na Xray tu mkubwa. Avoid sana kupiga picha za mionzi mikali hakika si njema sana. Kwa hiyo wanashauri hata wakati wa mimba unafanya ultrasound mara mbili tu pale inapohitajika hasa wakati wa kuanza clinic na kipindi cha mwisho kuangalia amniotic fluid, etc.

Hapo kwenye red si sahihi! Tusipotoshane
 
Mkuu Swart inawezekana.. ila alivyoenda ktk hospitali moja maarufu Jijini Dar ya wahindi hawakumletea longolongo, walimwambia moja kwa moja jinsia ya mtoto tena kwa uhakika kabisa na wakamwambia hutamaliza wiki 2 utajifungua na ikawa hivyo hivyo.
 
Haina madhara yoyote yale,hamna kitabu hata kimoja duniani(literature) ime prove kuwa ina madhara,ni maneno tu ya kienyeji ya mtaani so far naomba nikupe tu taarifa kuanzia leo ultrasound kama jina lilivyo inatumia mawimbi ya sauti(sound waves of very high fregquencies 3-10 MGH),hivo basi hamna risk ya mionzi(X_rays radiations) kama watu wengi wanavyodhania!!
wewe kweli mwekundu, mweupe ana afadhali!
 
Back
Top Bottom