Acha ubishi. Hili sio jukwaa la siasa.
Nyinyi ndio mnasababisha wataalam wasitoe ushauri wa bure humu.
Be informed kwamba ultrasound ni kitu cha kawaida ndio maana kipo mpaka kwenye beauty salons.
In any case you haven't convinced me!!! I will remain rigid, on this matter. Call me foolish, whatsoever, I do not care!! Who are you to influence me?? Whether a medical Dr. it is you not me!!!! Everyone is responsible for his/her own life, so is one's health. Leave me alone and keep one with your life. You will never influence me!!! Kila mwanadamu ataamua lililo jema kwa maisha yake!!!! So do I!!!
In any case you haven't convinced me!!! I will remain rigid, on this matter. Call me foolish, whatsoever, I do not care!! Who are you to influence me?? Whether a medical Dr. it is you not me!!!! Everyone is responsible for his/her own life, so is one's health. Leave me alone and keep one with your life. You will never influence me!!! Kila mwanadamu ataamua lililo jema kwa maisha yake!!!! So do I!!!
Tatizo lingine la wabongo mpaka kwenye mtaalam wanaleta ubishi. Angeambiwa na mzungu angekubali.
Hili jukwaa wataalam wanalikimbia kwa sababu hii. Hii mara ya pili naona mtu anabishia wataalam wanaojitolea bure kusaidia wenzao.
Eti ultrasound ni kipimo kikubwa! Huyu hata hajui kwamba ultrasound zinatumika kwenye beauty salon.
Kama watu wa namna hii hawatadhibitiwa, jukwaa hili kutakuwa kama chit chat tu.
Wadau,
Tafadhali kwenye jukwaa hili toa maelezo uliyo na uhakika nayo na kama huna uhakika sema hivyo.
Ultrasound ni kipimo salama kabisa ndio maana sonographer hahitaji dosimetry.
Cc Invisible
Kosa lako kwenye thread hii sio kuamini mambo ya uongo. Kosa lako ni kutoa taarifa za uongo kuhusu huduma ya afya.
Endelea kuwa rigid, hauko peke yako. Kuna wenzako walikuwa rigid wakawatoa wagonjwa hospitali kuwapeleka Loliondo.
Tatizo lako hujui chochote umebaki ku-copy. na ku-paste kutoka google...Wewe ni wakuonewa huruma..
Tena viongozi wako ndiyo walikuwa wa kwanza kupata kikombe cha babu!!!! Nao ni rigid kama mimi hawakupeleka matatizo yao kwa madaktari kama wewe??? Acha watu wafanye wawe huru na afya zako na si kuwa influenced na watu kama wewe mkuu. Taarifa nilizotoa si zangu, ni za wataalam!!! I just quoted them!!!! Sema najua ni kama kuweka mchanga katika vitumbua vya watu!!!!Kosa lako kwenye thread hii sio kuamini mambo ya uongo. Kosa lako ni kutoa taarifa za uongo kuhusu huduma ya afya.
Endelea kuwa rigid, hauko peke yako. Kuna wenzako walikuwa rigid wakawatoa wagonjwa hospitali kuwapeleka Loliondo.
Wakuu heshima kwenu...
Juzi nilipata malalamiko kutoka kwa binamu yangu, eti alikuwa anawasiwasi na ujauzito wake kua labda ni mapacha kwani tumbo lake ni kubwa mno, hivyo akaenda ktk hospitali moja ya serikali mjini Dar es salaam, baada ya vipimo ikaoneka sio mapacha ila alivyotaka kujua jinsia madaktari wakapima tena wakamjibu wameshindwa kuona jinsia kutokana na kwamba mimba ni ya miezi 8, na mtoto amekuwa mkubwa hivyo wameshindwa kuona jinsia, Je wanabodi ni kweli mimba ya miezi 8 hakuna uwezekano wa kujua jinsia ya mtoto kwa kutumia kipimo cha ultrasound.?
Tena viongozi wako ndiyo walikuwa wa kwanza kupata kikombe cha babu!!!! Nao ni rigid kama mimi hawakupeleka matatizo yao kwa madaktari kama wewe??? Acha watu wafanye wawe huru na afya zako na si kuwa influenced na watu kama wewe mkuu. Taarifa nilizotoa si zangu, ni za wataalam!!! I just quoted them!!!! Sema najua ni kama kuweka mchanga katika vitumbua vya watu!!!!
Mkuu mimi umechemsha utabiri wako...!!!! Amejaaliwa kujifungua mtoto wa kiume mwenye uzito wa kg 4.
waooh 4kg?!..congratulations to her..
Ultra sound ina mionzi mikali hivyo ina damage cells!!!! ni sawa na Xray tu mkubwa. Avoid sana kupiga picha za mionzi mikali hakika si njema sana. Kwa hiyo wanashauri hata wakati wa mimba unafanya ultrasound mara mbili tu pale inapohitajika hasa wakati wa kuanza clinic na kipindi cha mwisho kuangalia amniotic fluid, etc.
wewe kweli mwekundu, mweupe ana afadhali!Haina madhara yoyote yale,hamna kitabu hata kimoja duniani(literature) ime prove kuwa ina madhara,ni maneno tu ya kienyeji ya mtaani so far naomba nikupe tu taarifa kuanzia leo ultrasound kama jina lilivyo inatumia mawimbi ya sauti(sound waves of very high fregquencies 3-10 MGH),hivo basi hamna risk ya mionzi(X_rays radiations) kama watu wengi wanavyodhania!!