Eti mpaka leo bado kuna wanaume wanatapeliwa hela za nauli na za kutumiwa video za ngono

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Aisee shukuruni nyie mpo mtandao nyeti wa JF kidogo mna ujasiri ila wenzetu huko mtaani wazee kwa vijana bado wanatuma nauli kwa sababu ya kupagawa na account fake za facebook. Mtu anajifanya demu ana weka picha za mtego na watu wanaingia king wanatuma nauli kabisa

Wengine huko telegram na Instagram kisa tu picha anajidai anauza video za live call na watu wanatuma 3000 kila kukicha...

Kwa hiyo hii ni fursa wajinga bado wengi sana ukiweza piga hayo ma deal.
 
Watu wananunua smartphone Kila kukicha na hiyo ndio biashara unafikiri wataacha kupigwa
Ukiongozwa na nyege Kila siku utaonekana fala
 
Kwamba babe hata sina nauli unamtumia 20k halafu anakujibu "babe sitoweza kuja tumbo linauma nahisi simba wanacheza"
AU
nina connection latest njoo whatsApp 0754XXXX
AU
Video call 5k
Kuchat 2k
me nachekaga tu haha 😀
 
Kuna kipindi chupuchupu niingie mkenge kilichoniokoa kwenye line salio halikufika 10000.

Mambo yalikuwa Mengi mara uunganishwe na mwanamke anayetaka kuolewa,
Mara uunganishwe na mshangazi ulelewe, mara mwanamke wa familia ya kitajiri maninanina zao
 
😂😂😂😂
 
Kwamba babe hata sina nauli unamtumia 20k halafu anakujibu "babe sitoweza kuja tumbo linauma nahisi simba wanacheza"
AU
nina connection latest njoo whatsApp 0754XXXX
AU
Video call 5k
Kuchat 2k
me nachekaga tu haha 😀
Yeah hivohivo yaani aisee hii ni fursa kama una access ya kuwa na account nyingi kuwa nazo vibabu utaviliza
 
Aisee shukuruni nyie mpo mtandao nyeti wa JF kidogo mna ujasiri ila wenzetu huko mtaani wazee kwa vijana bado wanatuma nauli kwa sababu ya kupagawa na account fake za facebook. Mtu anajifanya demu ana weka picha za mtego na watu wanaingia king wanatuma nauli kabisa

Wengine huko telegram na Instagram kisa tu picha anajidai anauza video za live call na watu wanatuma 3000 kila kukicha...

Kwa hiyo hii ni fursa wajinga bado wengi sana ukiweza piga hayo ma deal.
Wewe umejitoa siyo?.
 
Wajinga ni wengi sana, hata leo ukifungua account facebook au inta, tafuta pisi kali ya kisouth huko weka picha zake kwenye account yako, anza kudownload pesa 😂😂😂.

Kuna mamtu yana nyege za kipuuzi kinoma.
 
Back
Top Bottom