ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
ππππKuna kipindi chupuchupu niingie mkenge kilichoniokoa kwenye line salio halikufika 10000.
Mambo yalikuwa Mengi mara uunganishwe na mwanamke anayetaka kuolewa,
Mara uunganishwe na mshangazi ulelewe, mara mwanamke wa familia ya kitajiri maninanina zao
Yeah hivohivo yaani aisee hii ni fursa kama una access ya kuwa na account nyingi kuwa nazo vibabu utavilizaKwamba babe hata sina nauli unamtumia 20k halafu anakujibu "babe sitoweza kuja tumbo linauma nahisi simba wanacheza"
AU
nina connection latest njoo whatsApp 0754XXXX
AU
Video call 5k
Kuchat 2k
me nachekaga tu haha π
kwamba na me nijifanye dem nidownload photo na video za kutosha nianze kuuzaYeah hivohivo yaani aisee hii ni fursa kama una access ya kuwa na account nyingi kuwa nazo vibabu utaviliza
Hujawahi tuma kweli wewe mkuuNimelia sana
Hujawahi tuma kweli wewe mkuuNimelia sana
Aaaaaah sio kweliiiNa umri huu sijawahi honga demu wala kutuma nauli ntakuwa kundi gani , π€
Kweli mkuu sijawahi honga π nikiwahonga wanakataaHujawahi tuma kweli wewe mkuu
Aaaaaah sio kweliii
Wewe umejitoa siyo?.Aisee shukuruni nyie mpo mtandao nyeti wa JF kidogo mna ujasiri ila wenzetu huko mtaani wazee kwa vijana bado wanatuma nauli kwa sababu ya kupagawa na account fake za facebook. Mtu anajifanya demu ana weka picha za mtego na watu wanaingia king wanatuma nauli kabisa
Wengine huko telegram na Instagram kisa tu picha anajidai anauza video za live call na watu wanatuma 3000 kila kukicha...
Kwa hiyo hii ni fursa wajinga bado wengi sana ukiweza piga hayo ma deal.
Mkuu hela yangu ni ngumu sana. Hata wenye ukaribu kwangu wanalijua hiloHujawahi tuma kweli wewe mkuu