Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli lakini usirogwe ukamkutanisha Mkeo na Dr. Kapiteni wa TMJ!Hamishia jukwaa la JF Doctor...utapata majibu sawia kwani kule kuna madaktari pia.
Wana JF hivi inawezekana kweli kuwa mtoto hapumui akiwa tumboni na mama yuko normal tu, au sometime manesi wanakuwa wamechoka kupima tu,
Hii inakuwaje embu nipeni mawazo yenu.
kama huna imani na nesi unaenda hospitali kufanya nini?sometime manesi wanakuwa wamechoka kupima tu,