Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Hapo tu ndipo unaponimalizaga mwanamke weyeHahahahah nampenda pashaa kama nimtunuku kitumbua handsome yuleee
Achana na hii kitu. Sio level yakoNimefanyajeee
Demu wa taifa.Hapo tu ndipo unaponimalizaga mwanamke weye
Hapa ulikua unatutaarif kwamba ww unapakuliwa, haya tutakuja kukupakua mkuu, weka na beiMtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
Sultan ndo nnMtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
Hahaha....mim kuna siku nilijichanganya nimetoka town nikakuta wife na mdada wa kazi wanaangali, duh! Kuna jamaa anaitwa sungura utafikiri ni shoga coz anavyoongea hatare hatare. Ila wao wanafurahia na wanajifanya kunifafanulia. Ikabidi nijifanye boya nisikilize tu. Ila Mimi ilinifanya nikumbuke tyrant coz walianza mambo yao ya ajabu ikabidi nisitishe maramoja kuangalia.Mtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
Wengine nawasikia wakiimba ninogeshe ya nandy. Tena kwa hisia kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
Kitumbua chako kitaingia mchanga bureHahahahah nampenda pashaa kama nimtunuku kitumbua handsome yuleee
Nikukumbushe tu, main actor wa Prison break ni shoga...Mtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
Sio hiyo tu kuna ule mziki wa Diamond, hapo ndio nachoka kabisaWengine nawasikia wakiimba ninogeshe ya nandy. Tena kwa hisia kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We boya lazima ucomment ujinga wako humu? Kutwa unawaza kuliwa tuu? mwisho unajitangaza kugawa bure sasa! sometimes ficha ujinga wako kwa kukaa kimya!Hahahahah nampenda pashaa kama nimtunuku kitumbua handsome yuleee
Nani ShogaNikukumbushe tu, main actor wa Prison break ni shoga...
Achana na maneno haya, uanaume haupimwi kwa vitu hivyo.... Wapo watu wengi wana mambo ya kibabe kabisa, ila ni ma faggot tu..Me nafuatilia Siri za familia..Mimi je Nina makosa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nusu nusuMe nafuatilia Siri za familia..Mimi je Nina makosa?