Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Nipandishe basi hata AfrikaDemu wa taifa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipandishe basi hata AfrikaDemu wa taifa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitumbua chako kitaingia mchanga bure
We fala ukiingia jf kazi yako kusoma comment zangu sometimes angalia ubongo wako usijaze pumba pumbafuuuuuuuuuuWe boya lazima ucomment ujinga wako humu? Kutwa unawaza kuliwa tuu? mwisho unajitangaza kugawa bure sasa! sometimes ficha ujinga wako kwa kukaa kimya!
Ndioooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Ivi bwana ako anapataga nafasi ya kusoma comments zako
Hahahha Ipo Azam 2 saa 4 usikuNdio nini hiyo?
Hahahha Ipo Azam 2 saa 4 usiku
Poleee dada si unajua ss bado bado hatuna majukumu mengi lazma tuchekSiku hizi nimezeeka hata siangalii hivi vitu jamani.
Tyrant tu ni moto mwingine huiHahaha....mim kuna siku nilijichanganya nimetoka town nikakuta wife na mdada wa kazi wanaangali, duh! Kuna jamaa anaitwa sungura utafikiri ni shoga coz anavyoongea hatare hatare. Ila wao wanafurahia na wanajifanya kunifafanulia. Ikabidi nijifanye boya nisikilize tu. Ila Mimi ilinifanya nikumbuke tyrant coz walianza mambo yao ya ajabu ikabidi nisitishe maramoja kuangalia.
Sultaaaaanaaaa.Unachokitafuta utakupata... Chefuuuuuuu in Sumbraaa voice
Assalaam aleykum ya UghtiSultaaaaanaaaa.
Si mchuzi huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wa Aleykum salaam! Mzima weye?Assalaam aleykum ya Ughti
Namshukuru Allah vipi Mahdevran Sultana anaendeleajeWa Aleykum salaam! Mzima weye?
Mimi ni miongoni mwa wanaume tunaoangaliaga sultani pamoja na Jamai RajjaNyuzi ka hizi ni zile za kufanya kila mwanaume aijui Sultan ila nje ya hapo walio wengi tunakaaga nao macho mpaka saa tano.
(Ila Mnisamehe jamani) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nimecheka maana anajua mpaka chanell inachoonyesha hiyo Sultan.Sasa kama wewe sio mdau umejuaje wanachoangalia hakiendani na hadhi ya mwanaume rijal?
Kuna mwanaume mumoja mkubwa sana wa dasilama huwa anaangalia hadi kwenye Twitter yake alipost anaitwa baba nani sujui aka ADBMtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
We wa jinsia gani?Mtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
😂😂😂😂 itakuwa vivyo.Me nafuatilia Siri za familia..Mimi je Nina makosa?