Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

We boya lazima ucomment ujinga wako humu? Kutwa unawaza kuliwa tuu? mwisho unajitangaza kugawa bure sasa! sometimes ficha ujinga wako kwa kukaa kimya!
We fala ukiingia jf kazi yako kusoma comment zangu sometimes angalia ubongo wako usijaze pumba pumbafuuuuuuuuuu
 
Inasikitisha sana aiseeh.

Ukiona dume zima anaacha kwenda kuangalia mpira na wanaume wenzie lakini hiyo sijui sulitani na shilawadu lazima aangalie, ana shida mahali.
 
Hahaha....mim kuna siku nilijichanganya nimetoka town nikakuta wife na mdada wa kazi wanaangali, duh! Kuna jamaa anaitwa sungura utafikiri ni shoga coz anavyoongea hatare hatare. Ila wao wanafurahia na wanajifanya kunifafanulia. Ikabidi nijifanye boya nisikilize tu. Ila Mimi ilinifanya nikumbuke tyrant coz walianza mambo yao ya ajabu ikabidi nisitishe maramoja kuangalia.
Tyrant tu ni moto mwingine hui
 
Nyuzi ka hizi ni zile za kufanya kila mwanaume aijui Sultan ila nje ya hapo walio wengi tunakaaga nao macho mpaka saa tano.

(Ila Mnisamehe jamani) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ni miongoni mwa wanaume tunaoangaliaga sultani pamoja na Jamai Rajja
 
Mtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???

Utaolewa Na Ndevu zako
Kuna mwanaume mumoja mkubwa sana wa dasilama huwa anaangalia hadi kwenye Twitter yake alipost anaitwa baba nani sujui aka ADB
 
Back
Top Bottom