Hahahahaaa. Umeuaaaaa.Pisheni njiaaaa mtukufu sultan Suleiman khan anaingiaaaa
Hahahaaa. Jana nimepitwa ila nitamuangalia mchana nione anaendeleaje.Namshukuru Allah vipi Mahdevran Sultana anaendeleaje
Hahahaaaa. Tupeni kampani jamaani.Mimi ni miongoni mwa wanaume tunaoangaliaga sultani pamoja na Jamai Rajja
me/keWe wa jinsia gani?
Mtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
Naona dawa imekuingia mpaka kwenye mfupa! Wewe ni kituko cha jf.We fala ukiingia jf kazi yako kusoma comment zangu sometimes angalia ubongo wako usijaze pumba pumbafuuuuuuuuuu
Mbn sultan inamuhusu mtu yoyoteMtoto Wa kiume unakaa kitako kucheki huu upuuzi. Unatafuta Bwana?? Utaolewa boya ww Changamkaaaa. Unashindwa kucheki Hata Prison Break unacheki huu Uchuro???
Utaolewa Na Ndevu zako
Mkuu kuna njia mbalimbali za kukufanya uwe fame, ikiwemo kutengeneza attention kwa watu....ko huy huenda hii ndiyo aliyochagua kuwa fame hapa... jukwaani,.... kuongea kila siku haya mambo af mtoto wa kike lazima ucreate attention!!!!!.........cha msingi kumpuuza kama anakukela!!!We boya lazima ucomment ujinga wako humu? Kutwa unawaza kuliwa tuu? mwisho unajitangaza kugawa bure sasa! sometimes ficha ujinga wako kwa kukaa kimya!
Mi mwenyewe walinikera kwenye tyrant walipoweka ushoga. Yaani siku hizi kila movie au series mzuri basi lazima waweke ushogaHahaha....mim kuna siku nilijichanganya nimetoka town nikakuta wife na mdada wa kazi wanaangali, duh! Kuna jamaa anaitwa sungura utafikiri ni shoga coz anavyoongea hatare hatare. Ila wao wanafurahia na wanajifanya kunifafanulia. Ikabidi nijifanye boya nisikilize tu. Ila Mimi ilinifanya nikumbuke tyrant coz walianza mambo yao ya ajabu ikabidi nisitishe maramoja kuangalia.
Unasumbuliwa na inferiority complexion. Ukiwa na kibamia hautajiongeza kwa kuangalia vitu vya kutisha. Mwanaume ni yule anayemudu kuilipia familia yake king'amuzi na wala sio mnuka jasho la dhiki.Ki Tamthiliya uchwara Azam
hivi hii ndio ile ina waigizaji wa kike wana mishundu kama matairi ya trekta??Me nafuatilia Siri za familia..Mimi je Nina makosa?
Ndio shida ya ujuaji, unaishia kuwa MJINGA DAIMA. Sultan imebase kwenye HISTORIA YA DOLA YA OTTOMAN. Kwa mtu unayependa KUJIFUNZA, huwezi kulinganisha SULTAN na upuuzi wa PRISON BREAK. Historia ya Uturuki kuitawala ULAYA, imesimuliwa humo tofauti na hayo maigizo ya kutoroka gerezani ambayo ni ya kutunga.Hahaha....mim kuna siku nilijichanganya nimetoka town nikakuta wife na mdada wa kazi wanaangali, duh! Kuna jamaa anaitwa sungura utafikiri ni shoga coz anavyoongea hatare hatare. Ila wao wanafurahia na wanajifanya kunifafanulia. Ikabidi nijifanye boya nisikilize tu. Ila Mimi ilinifanya nikumbuke tyrant coz walianza mambo yao ya ajabu ikabidi nisitishe maramoja kuangalia.
Hahahaha.......kweli wewe kichwa maji. Tupatie basi mradi mmoja. Uchumi wa viwandaNdio shida ya ujuaji, unaishia kuwa MJINGA DAIMA. Sultan imebase kwenye HISTORIA YA DOLA YA OTTOMAN. Kwa mtu unayependa KUJIFUNZA, huwezi kulinganisha SULTAN na upuuzi wa PRISON BREAK. Historia ya Uturuki kuitawala ULAYA, imesimuliwa humo tofauti na hayo maigizo ya kutoroka gerezani ambayo ni ya kutunga.
Kwa watalii na wengine tunaopenda kutembea, huwezi fika Uturuki halafu usitembelee maeneo ya kihistoria kama Ikulu ya Topkapi na Mji wa Instabul (Constantinople) kama utakuwa umeshawahi kuona Tamthilia ya Sultan. Hii ni sawa na kusoma kitabu, ni vile tumeumbwa na ubongo wa ajabu wa kutopenda kujua yaliyo mbali nasi.
Najua, kwa comment hii watainuka vichwa maji wengi kurusha upupu lkn kama taifa, tutambue kuwa FASIHI ni sehemu muhimu ya kuhuisha UBONGO. Nakumbuka miaka kadhaa nyuma kulikuwa na mashindano yanaitwa CELTEL AFRICA CHALLENGE ambapo vyuo vikuu mbali mbali vya Africa vilishindana na chuo bingwa kilipata top prize ya hadi $5m. Nasikitika, Tanzania ilikuwa kwenye viwango vile vile vinavyooneshwa na Taifa Stars. Kama Tanzanian intellectual anaulizwa Timbuktu Empire ilikuwa wapi na anapewa multiple choice na bado anakosa, kuna ujinga zaidi ya kutoangalia historical dramas enyi wazee wa madesa?
Ama kuhusu ushoga, Sumbulah ni jambo lingine lenye kuonesha UPUNGUFU WA UELEWA na mgomo tulionao kujifunza. Falme na Dola za Urithi za zamani, zilikuwa na taratibu za kuwa na MATOWASHI ambao ni wafanyakazi wa kiume kwenye women folk (harem) ya mfalme. Hawa, ili wasije kuwa na uhusiano wa kingono na malkia au masuria, huasiwa au kuondolewa kabisa uume...ndio kama Sumbulah Khaja...hii nayo ni elimu.
Tusijitie UJINGA tukauita UANAUME na ulimbukeni ukatutawala. Tamthilia kama Sultan(Turkish), Jumong na Jewellery In the Palace(Korean) zina nafasi kubwa ya kutumika kwa educational and heritage purposes kuliko prison break and the likes.
Kwako wewe ndugu yangu usiyependa ushoga, kama kweli wewe ni baba, jitathmini matumizi ya maneno kama COZ, BHANA, XAXA hatare n.k
Hata hilo jina lako, linaakisi ulikotokaHahahaha.......kweli wewe kichwa maji. Tupatie basi mradi mmoja. Uchumi wa viwanda
Mie Balybe tu [emoji7][emoji7]Hahahahah nampenda pashaa kama nimtunuku kitumbua handsome yuleee
UmemalizaaNdio shida ya ujuaji, unaishia kuwa MJINGA DAIMA. Sultan imebase kwenye HISTORIA YA DOLA YA OTTOMAN. Kwa mtu unayependa KUJIFUNZA, huwezi kulinganisha SULTAN na upuuzi wa PRISON BREAK. Historia ya Uturuki kuitawala ULAYA, imesimuliwa humo tofauti na hayo maigizo ya kutoroka gerezani ambayo ni ya kutunga.
Kwa watalii na wengine tunaopenda kutembea, huwezi fika Uturuki halafu usitembelee maeneo ya kihistoria kama Ikulu ya Topkapi na Mji wa Instabul (Constantinople) kama utakuwa umeshawahi kuona Tamthilia ya Sultan. Hii ni sawa na kusoma kitabu, ni vile tumeumbwa na ubongo wa ajabu wa kutopenda kujua yaliyo mbali nasi.
Najua, kwa comment hii watainuka vichwa maji wengi kurusha upupu lkn kama taifa, tutambue kuwa FASIHI ni sehemu muhimu ya kuhuisha UBONGO. Nakumbuka miaka kadhaa nyuma kulikuwa na mashindano yanaitwa CELTEL AFRICA CHALLENGE ambapo vyuo vikuu mbali mbali vya Africa vilishindana na chuo bingwa kilipata top prize ya hadi $5m. Nasikitika, Tanzania ilikuwa kwenye viwango vile vile vinavyooneshwa na Taifa Stars. Kama Tanzanian intellectual anaulizwa Timbuktu Empire ilikuwa wapi na anapewa multiple choice na bado anakosa, kuna ujinga zaidi ya kutoangalia historical dramas enyi wazee wa madesa?
Ama kuhusu ushoga, Sumbulah ni jambo lingine lenye kuonesha UPUNGUFU WA UELEWA na mgomo tulionao kujifunza. Falme na Dola za Urithi za zamani, zilikuwa na taratibu za kuwa na MATOWASHI ambao ni wafanyakazi wa kiume kwenye women folk (harem) ya mfalme. Hawa, ili wasije kuwa na uhusiano wa kingono na malkia au masuria, huasiwa au kuondolewa kabisa uume...ndio kama Sumbulah Khaja...hii nayo ni elimu.
Tusijitie UJINGA tukauita UANAUME na ulimbukeni ukatutawala. Tamthilia kama Sultan(Turkish), Jumong na Jewellery In the Palace(Korean) zina nafasi kubwa ya kutumika kwa educational and heritage purposes kuliko prison break and the likes.
Kwako wewe ndugu yangu usiyependa ushoga, kama kweli wewe ni baba, jitathmini matumizi ya maneno kama COZ, BHANA, XAXA hatare n.k
Kwa maelezo haya unanifanya niendelee kuipenda na niendeleee kuiangaliaNdio shida ya ujuaji, unaishia kuwa MJINGA DAIMA. Sultan imebase kwenye HISTORIA YA DOLA YA OTTOMAN. Kwa mtu unayependa KUJIFUNZA, huwezi kulinganisha SULTAN na upuuzi wa PRISON BREAK. Historia ya Uturuki kuitawala ULAYA, imesimuliwa humo tofauti na hayo maigizo ya kutoroka gerezani ambayo ni ya kutunga.