Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

Nyuzi ka hizi ni zile za kufanya kila mwanaume haijui Sultan ila nje ya hapo walio wengi tunakaaga nao macho mpaka saa tano.

(Ila Mnisamehe jamani) 😂😂😂😂😂
hahahaa hao sio wanaume madame " anza kuwapekua upya "... mwanaume hawezi kuangalia ile kitu aisee
 
prison break ni series ya kijasusi" na ndiyo series iliyochochea zaidi ' " watu " kuwafanya wapende kutazama series " ....yaani inshort usiifananishe prison break na vitu vya kijinga"
Labda wewe ndugu sisi wengine tumeanza series toka muda sana tena hata hiyo prison break sio kali kihivyo kama kina , 24 , Flashforward , the event na nyingine nyingi , pia huyo michael wa prison break ambaye ndiye main character ni shoga haswa tena shoga wa kujitangaza kabisa.
 
umeongea pumba tupu " ijapokuwa umejiwekea defense mechanism yakutotaka kupingwa ".... blaahh blaaah kibao sijui historia ya ottoman empire sijui vimefanya nini " wakati hao hao wabongo kuna watu kibao wamekaa kizoba zoba tu bila. kumjua hata sewa haji ",Yaani kuna wa bongo hawaijui " hata history ya nchi yao vyema " halafu unawashangaa wao kutoijua Timbuktu empire"... halafu kama haujui jambo uwe una kaa Linus chief utachekwa bure " prison break ndani yake ina baadhi ya matukio ya historia ya kweli " na moja ya tukio linamuhusu mwizi mtakatifu bwana db Cooper.... then kama movie ya history ya kweli imeshindwa mvuto mpaka na series ya kutungwa" basi kazi ipo aisee
 
Unataman uwe demiss na wewe lakin tayar umetunukiwa dushee fywaaala wewe unajifanya mwema kumbe shuzii tupuuu
Umegeuzwa kituko humu jf bila kujijua,siku ukipata ufahamu inakua ni too little too late! Wazazi wako wana hasara kubwa sana.
 
Tulio anza kuangalia isidingo kutoka ktk mji wa(HD- HORIZON DEEP) toka mwaka 1996 had leo gonga like.
 
hahaaa eti 24 " Aisee yaani yule jack Bauer " na tony almeida " ndio ukafananishe na ule mziki wa "genius scolfied ..mahone na kichaa sucre ". .. mzee baba tutake radhi aisee "... nimetazama series zote hizo " lakini ile akili iliyotumika kuandaliwa kwa ile series ya prison break ..aisee niakili mtambuka ""

then ushoga wa scolfied ulikuja bainika baada ya yeye kujitangaza " wakat huo series ikiwa imeshafanya vyema mnoo "..so ushoga wake hauhusiani na ubora wa ile series
 
We ndo tahira kweli.yaani shoga anaweza kutoa elimu?huyo anakuvuta na wewe uone ushoga sio tatizo,unaweza kuwa shoga ukafanya vitu vya kikomando.sasa chagua kuwa na akili mtambuka,au kuwa na akili ya kutafuna watoto wazuri kama suleymani.tuache masikhara kama ndio kweri ilikua vile!basi jamaa alikua anafaidi aisee!watoto wazuriii analete tu na hawana hata ukimwi yaani ndio ningelikua mimi wangenikoma
 
hahaaa JF imeingiliwa .. vichaa wamekuwa wengi mnoo humu
 
Hiyo prison break nilikua nayo full season , nime binge watch hiyo series najua every details ya series hiyo , lakini kwangu siyo best series inategemea na aina gani unapenda kuangalia , wengine wanapenda drama, comedy , action , strategy , wengine fiction so kila mtu ana taste yake me naikubal sana 24 kuliko prison break .
 
Umeua mzee baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…