Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Hahahahhaha unamkabizi fisi zizi la kondoohahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahhaha unamkabizi fisi zizi la kondoohahaaa
hahahaa hao sio wanaume madame " anza kuwapekua upya "... mwanaume hawezi kuangalia ile kitu aiseeNyuzi ka hizi ni zile za kufanya kila mwanaume haijui Sultan ila nje ya hapo walio wengi tunakaaga nao macho mpaka saa tano.
(Ila Mnisamehe jamani) 😂😂😂😂😂
yani nashangaa sana broo kuona dingilai anacheck sultanacha hizo mambo aisee " sultan waachie kina mama
sure kabisahahahaa hao sio wanaume madame " anza kuwapekua upya "... mwanaume hawezi kuangalia ile kitu aisee
Labda wewe ndugu sisi wengine tumeanza series toka muda sana tena hata hiyo prison break sio kali kihivyo kama kina , 24 , Flashforward , the event na nyingine nyingi , pia huyo michael wa prison break ambaye ndiye main character ni shoga haswa tena shoga wa kujitangaza kabisa.prison break ni series ya kijasusi" na ndiyo series iliyochochea zaidi ' " watu " kuwafanya wapende kutazama series " ....yaani inshort usiifananishe prison break na vitu vya kijinga"
umeongea pumba tupu " ijapokuwa umejiwekea defense mechanism yakutotaka kupingwa ".... blaahh blaaah kibao sijui historia ya ottoman empire sijui vimefanya nini " wakati hao hao wabongo kuna watu kibao wamekaa kizoba zoba tu bila. kumjua hata sewa haji ",Yaani kuna wa bongo hawaijui " hata history ya nchi yao vyema " halafu unawashangaa wao kutoijua Timbuktu empire"... halafu kama haujui jambo uwe una kaa Linus chief utachekwa bure " prison break ndani yake ina baadhi ya matukio ya historia ya kweli " na moja ya tukio linamuhusu mwizi mtakatifu bwana db Cooper.... then kama movie ya history ya kweli imeshindwa mvuto mpaka na series ya kutungwa" basi kazi ipo aiseeNdio shida ya ujuaji, unaishia kuwa MJINGA DAIMA. Sultan imebase kwenye HISTORIA YA DOLA YA OTTOMAN. Kwa mtu unayependa KUJIFUNZA, huwezi kulinganisha SULTAN na upuuzi wa PRISON BREAK. Historia ya Uturuki kuitawala ULAYA, imesimuliwa humo tofauti na hayo maigizo ya kutoroka gerezani ambayo ni ya kutunga.
Kwa watalii na wengine tunaopenda kutembea, huwezi fika Uturuki halafu usitembelee maeneo ya kihistoria kama Ikulu ya Topkapi na Mji wa Instabul (Constantinople) kama utakuwa umeshawahi kuona Tamthilia ya Sultan. Hii ni sawa na kusoma kitabu, ni vile tumeumbwa na ubongo wa ajabu wa kutopenda kujua yaliyo mbali nasi.
Najua, kwa comment hii watainuka vichwa maji wengi kurusha upupu lkn kama taifa, tutambue kuwa FASIHI ni sehemu muhimu ya kuhuisha UBONGO. Nakumbuka miaka kadhaa nyuma kulikuwa na mashindano yanaitwa CELTEL AFRICA CHALLENGE ambapo vyuo vikuu mbali mbali vya Africa vilishindana na chuo bingwa kilipata top prize ya hadi $5m. Nasikitika, Tanzania ilikuwa kwenye viwango vile vile vinavyooneshwa na Taifa Stars. Kama Tanzanian intellectual anaulizwa Timbuktu Empire ilikuwa wapi na anapewa multiple choice na bado anakosa, kuna ujinga zaidi ya kutoangalia historical dramas enyi wazee wa madesa?
Ama kuhusu ushoga, Sumbulah ni jambo lingine lenye kuonesha UPUNGUFU WA UELEWA na mgomo tulionao kujifunza. Falme na Dola za Urithi za zamani, zilikuwa na taratibu za kuwa na MATOWASHI ambao ni wafanyakazi wa kiume kwenye women folk (harem) ya mfalme. Hawa, ili wasije kuwa na uhusiano wa kingono na malkia au masuria, huasiwa au kuondolewa kabisa uume...ndio kama Sumbulah Khaja...hii nayo ni elimu.
Tusijitie UJINGA tukauita UANAUME na ulimbukeni ukatutawala. Tamthilia kama Sultan(Turkish), Jumong na Jewellery In the Palace(Korean) zina nafasi kubwa ya kutumika kwa educational and heritage purposes kuliko prison break and the likes.
Kwako wewe ndugu yangu usiyependa ushoga, kama kweli wewe ni baba, jitathmini matumizi ya maneno kama COZ, BHANA, XAXA hatare n.k
hahhaa mwehu huyo " anataka tumdunde tu humu ".... anatupangia cha ku-comment amekuwa modsHahahahhaha unamkabizi fisi zizi la kondoo
Umegeuzwa kituko humu jf bila kujijua,siku ukipata ufahamu inakua ni too little too late! Wazazi wako wana hasara kubwa sana.Unataman uwe demiss na wewe lakin tayar umetunukiwa dushee fywaaala wewe unajifanya mwema kumbe shuzii tupuuu
Kwani ina tatizo gani?hahahaa hao sio wanaume madame " anza kuwapekua upya "... mwanaume hawezi kuangalia ile kitu aisee
hahaaa eti 24 " Aisee yaani yule jack Bauer " na tony almeida " ndio ukafananishe na ule mziki wa "genius scolfied ..mahone na kichaa sucre ". .. mzee baba tutake radhi aisee "... nimetazama series zote hizo " lakini ile akili iliyotumika kuandaliwa kwa ile series ya prison break ..aisee niakili mtambuka ""Labda wewe ndugu sisi wengine tumeanza series toka muda sana tena hata hiyo prison break sio kali kihivyo kama kina , 24 , Flashforward , the event na nyingine nyingi , pia huyo michael wa prison break ambaye ndiye main character ni shoga haswa tena shoga wa kujitangaza kabisa.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]c bora ya sultan.. mtu anachek SHILAWADU
We ndo tahira kweli.yaani shoga anaweza kutoa elimu?huyo anakuvuta na wewe uone ushoga sio tatizo,unaweza kuwa shoga ukafanya vitu vya kikomando.sasa chagua kuwa na akili mtambuka,au kuwa na akili ya kutafuna watoto wazuri kama suleymani.tuache masikhara kama ndio kweri ilikua vile!basi jamaa alikua anafaidi aisee!watoto wazuriii analete tu na hawana hata ukimwi yaani ndio ningelikua mimi wangenikomahahaaa eti 24 " Aisee yaani yule jack Bauer " na tony almeida " ndio ukafananishe na ule mziki wa "genius scolfied ..mahone na kichaa sucre ". .. mzee baba tutake radhi aisee "... nimetazama series zote hizo " lakini ile akili iliyotumika kuandaliwa kwa ile series ya prison break ..aisee niakili mtambuka ""
then ushoga wa scolfied ulikuja bainika baada ya yeye kujitangaza " wakat huo series ikiwa imeshafanya vyema mnoo "..so ushoga wake hauhusiani na ubora wa ile series
hahaaa JF imeingiliwa .. vichaa wamekuwa wengi mnoo humuWe ndo tahira kweli.yaani shoga anaweza kutoa elimu?huyo anakuvuta na wewe uone ushoga sio tatizo,unaweza kuwa shoga ukafanya vitu vya kikomando.sasa chagua kuwa na akili mtambuka,au kuwa na akili ya kutafuna watoto wazuri kama suleymani.tuache masikhara kama ndio kweri ilikua vile!basi jamaa alikua anafaidi aisee!watoto wazuriii analete tu na hawana hata ukimwi yaani ndio ningelikua mimi wangenikoma
aisee! huko pm na ID mpya mpya kuna fukuto?Umegeuzwa kituko humu jf bila kujijua,siku ukipata ufahamu inakua ni too little too late! Wazazi wako wana hasara kubwa sana.
Umeua mzee babaWe ndo tahira kweli.yaani shoga anaweza kutoa elimu?huyo anakuvuta na wewe uone ushoga sio tatizo,unaweza kuwa shoga ukafanya vitu vya kikomando.sasa chagua kuwa na akili mtambuka,au kuwa na akili ya kutafuna watoto wazuri kama suleymani.tuache masikhara kama ndio kweri ilikua vile!basi jamaa alikua anafaidi aisee!watoto wazuriii analete tu na hawana hata ukimwi yaani ndio ningelikua mimi wangenikoma
Mkuu sijakusoma,funguka.aisee! huko pm na ID mpya mpya kuna fukuto?