Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

Eti Mtoto wa kiume unaangalia Tamthiliya ya Sultan

umeongea pumba tupu " ijapokuwa umejiwekea defense mechanism yakutotaka kupingwa ".... blaahh blaaah kibao sijui historia ya ottoman empire sijui vimefanya nini " wakati hao hao wabongo kuna watu kibao wamekaa kizoba zoba tu bila. kumjua hata sewa haji ",Yaani kuna wa bongo hawaijui " hata history ya nchi yao vyema " halafu unawashangaa wao kutoijua Timbuktu empire"... halafu kama haujui jambo uwe una kaa Linus chief utachekwa bure " prison break ndani yake ina baadhi ya matukio ya historia ya kweli " na moja ya tukio linamuhusu mwizi mtakatifu bwana db Cooper.... then kama movie ya history ya kweli imeshindwa mvuto mpaka na series ya kutungwa" basi kazi ipo aisee
Sijawahi soma upumbavu zaidi ya huu ulioandika. Pengine umeongozwa na roho ya ushindani kiasi ukasahau kuweka vituo na herufi kubwa ili tu uwahi 'kuniumbua' na kupata hati ya pongezi.

Hebu kuwa mwema kiasi, nisaidie kuelewa huu upumbavu ulioandika. NI VIPI WABONGO KUTOKUJUA HISTORIA YA SEWA HAJJ KUNAJUSTIFY WAO KUTOKUJISUMBUA KUIJUA YA OTTOMAN?

Mimi nilifikiri pengine wewe ulipaswa kutilia mkazo hoja yangu, maana wewe umeona tatizo ni kubwa zaidi ya nionavyo mimi, lakini badala yake umekurupua shutuma ukaacha hoja ya msingi. Kujifunza HAKUNA MWISHO na hata mimi sikuitaja tamthilia ya Sultan kama Educational Material pekee mpaka ikukere uisemee 'kimipasho' the way umefanya hapo nilipopabold kwenye comment yako. Kama utaacha ushabiki na ghubu, rejea bandiko langu, nimezitolea mfano HISTORICAL DRAMA hadi za Kikorea na hii inamaanisha hata ikifanyiwa kazi historia ya Sewa Hajj au Mkwawa nayo nitaichukulia sawa na hizi...shida yako iko wapi?
 
Sijawahi soma upumbavu zaidi ya huu ulioandika. Pengine umeongozwa na roho ya ushindani kiasi ukasahau kuweka vituo na herufi kubwa ili tu uwahi 'kuniumbua' na kupata hati ya pongezi.

Hebu kuwa mwema kiasi, nisaidie kuelewa huu upumbavu ulioandika. NI VIPI WABONGO KUTOKUJUA HISTORIA YA SEWA HAJJ KUNAJUSTIFY WAO KUTOKUJISUMBUA KUIJUA YA OTTOMAN?

Mimi nilifikiri pengine wewe ulipaswa kutilia mkazo hoja yangu, maana wewe umeona tatizo ni kubwa zaidi ya nionavyo mimi, lakini badala yake umekurupua shutuma ukaacha hoja ya msingi. Kujifunza HAKUNA MWISHO na hata mimi sikuitaja tamthilia ya Sultan kama Educational Material pekee mpaka ikukere uisemee 'kimipasho' the way umefanya hapoku nilipopabold kwenye comment yako. Kama utaacha ushabiki na ghubu, rejea bandiko langu, nimezitolea mfano HISTORICAL DRAMA hadi za Kikorea na hii inamaanisha hata ikifanyiwa kazi historia ya Sewa Hajj au Mkwawa nayo nitaichukulia sawa na hizi...shida yako iko wapi?
hahaaa " umekimbia hoja tena " wewe sindiye uliyesema prison break ni tamthilia ya kutungwa tu " ilhali ndani Yake kuna vipande Vinavyo sadifu matukio makubwa " ambayo yalishawahi kutikisa vyombo vya usalama nchini USA

hivyo basi naanzaje kutilia mkazo content ya mtu Muongo " anayejaribu kuupaka rangi uwongo nakutuaminisha kwamba ni ukweli ". ..

yaani hapo ndio paliponifanya ni krone wewe kuwa ni mashudu " na hoja yako ilikuwa imejaa kiushabiki na uzandiki " kuliko misingi ya haki na ukweli " ijapo " kuwa matomaso wenzako hawato kuelewa" kwa sababu ulijidai kujificha nyuma ya kivuli cha historical drama ...

ukiwa unataka kuwasilisha jambo " angalia watu wakuwadanganya aisee .....
 
Umegeuzwa kituko humu jf bila kujijua,siku ukipata ufahamu inakua ni too little too late! Wazazi wako wana hasara kubwa sana.
Na wewe baada ya kubadili I'd unajiona wa maana kumbe shetani mjambia takooo mxeeew
 
huu mtiuano hapa nje/upenuni unaonekana haujaanza hapa mmeanzia huko pm nn?
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo namjua vizur asikupe pressure mjingaaaa mmoja hivi
 
Si hajabu kwa wanaume wa Dar kujihusisha na ujinga. Utakuta jitu zima linaangalia cartoons huku likijichekea bila hata haibu. Kuna siku nilikuwa mahala fulani napata moja moto na baridi pale Kinondoni kona ya Mwinjuma. Kuna jamaa mtu wa makamu tu akalazimisha muhudumu awekewe 'Cartoon Network Channel' kwa sababu kuna jamaa (zile cartoons) wanachekesha sana. Ile kuwekewa tu, jamaa akahama meza ya wenzake na kwenda mbele huku akiuliza kwa sauti kubwa hivi hawa jamaa yaani wale cartoons wanaishi nchi gani. Nilichoka aisee, wanaume wa Dar...yaani basi tu.
 
Tunajuana vizur ndo maana kutwa limejaa wivu nitamvisha sket nataman aje hapa tuchambane sema tu linanikwepaaaa
Acha kujipendekeza wewe,hivi unaona ufahari kuongopa humu kua unajuana na mimi eeh! Siwezi juana na mshinda jf wewe,kituko cha jf.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]huyo namjua vizur asikupe pressure mjingaaaa mmoja hivi
Wewe akili matope ujuane na mimi?! Kwa lipi hasa? Kwa kushinda jf kutwa na kisimu chako cha mchina huku ukitema pumba?
 
Acha kujipendekeza wewe,hivi unaona ufahari kuongopa humu kua unajuana na mimi eeh! Siwezi juana na mshinda jf wewe,kituko cha jf.
Wewe ndo kutwa unashinda jf kufatilia yasiyo kuhusu umeshindwa kwenda majukwaa ya biashara huko unakaa unajileta chitchat utaumia sana mwaka huu tena kwa taarifa yako unikome kama ulivyo koma kunyonya titi la mama akoo nyauuu wewe
 
Back
Top Bottom