kuna ----- anashangaa humu jf mwalimu kufanya kazi ya bodaboda.kwani ni ajabu au kavunja sheria gani?WALIPU CHAKARIKENI ACHANENI NA MANENO YA KWENYE KANGA.Kwa mshahara wa kipuuzi unataka mwalimu ashnde muda wote shule kwani ye ni askari mlinda benki.shule kila teacher ana vipindi vyake na muda maalumu wa kuingia darasani.mkiona watoto wenu hawasomi wapelekeni shule aina ya FEZA BOYS,MARIAN AU ST.FRANSIS zinazo ng'ara kila mwaka ambako ada yake si hyo elfu ishiri wanasiasa wanayo waambia mlipe kwenye hayo magofu.mwanasiasa anakwambia ulipe ada ya 20000 unakenua meno wa kwake anamlipia shule za milion 2 unadhani ye mjinga?mwalimu kwenye shule za maana wanamjali na ndo maana atajitoa kuhakikisha mwanafunzi anapasua utamlinganisha na mwalimu alieko kata anayepigizana kelele na matoto yanayotoka nyumba inayouza bangi na gongo.ikifika shule kwanza imelewa.WALIMU JIFUNZENI UJASILIA,ONGEZENI KIPATO.Serikali hii itakuongezeni elfu 30000 kwa mwaka wakati mfumuko wa bei uko juu.