Eti "Mwanamke ukimjaza mimba ndio anatulia" nani kakudanganya?

Eti "Mwanamke ukimjaza mimba ndio anatulia" nani kakudanganya?

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Habari zenu! Naona wanaume tunaendelea kujitengenezea maisha magumu, maisha ya kuhangaika na ada za watoto Hadi uzeeni.

Kwanini naongea hivi? Kama mtakuwa na kumbukumbu Kuna siku niliwaletea uzi humu nimekula mke wa mtu baada ya kutegwa Sana na kujilengesha mwenyewe bila Mimi kujua.

Sasa juzi tumeonana na yule binti nimekuta anakitumbo cha Kama miezi mitatu hivi kwanza nikastuka na kumuuliza vipi mbona hivi tena akajibu nilifanya matusi. Tukacheka basi tukaachana.

Jioni nikawa na hofu maana kwa muda wa mimba na siku tulio njunjana muda unawiana nikamuuliza juu ya hilo akasema Ni ya mister aliona anarukaruka ndio eti kamtuliza.

Nikamtest rematch nikajibiwa wewe tu lakini kiukweli sipendi habari za kuchafua na kunajisi watoto kuanzia umri mimba hadi miaka 16 [emoji8][emoji8] .tukaagana pale basi ikawa ndio hivo.

Ndugu zangu kumtuliza mwanamke kwa kuzalisha mfululizo hauzuiii kitu ila unajiwekea mzigo mgumu wa wewe kukomaa na ma ada maisha yako yote na mizigo mingine.

#wivu usiwafanye mjibebeshe mizigo mikubwa hadi mwisho wa maisha yenu.

#Mbususu haichungwi Wala kukomolewa
 
Ukitaka mwanamke wako atulie kimya labda mfumbe mdomo, au!??? Kama hilo ni gumu, pls mnunulie aisikrimu, sawa!?
 
Ni kweli unachosema, japo si kweli wakati wote na kwa wanawake au wanaume wote.
 
Jamii yetu bado ina matatizo makubwa sana, yaani mzinzi anajivunia na kuongea as if ni sifa! Kweli kabisa!
 
Kuna dem wa chuo nlkua nakula naona kaenda likizo mwamba aka mjaza kama kinga..kumbe kamuongezea utamu mambo ina joto balaa
[emoji50][emoji50] hii si sawa jmn
 
Yaani sampo ya uyo mwanamke mmoja ndo tayar ushakamilisha ripoti yako ya utafiti?
 
Hahahaha mkuu ni heri nife na mtoto mmoja nayejimudu kumuhudumia mahitaji yote ya msingi kuliko kua na idadi ya watoto tegemezi.
 
Ni uvivu tu wakufikiri ndio unawasumbua.wewe mtu mzinzi ambaye unajua anaweza kukuambukiza magojwa,kunajisi kizazi chako,kukuroga,anakukosesha amani kila mda unawaza sijui atakua anasaliti? mara umetega simu yake yani wewe maisha yako hauna amani kazi kuwaza jinsi ya kumchunga mtu mwenye akili kama zako tena mambo anayoyafanya anafanya akiwa na akili zake kwa asilimia 100 bila atakushikiwa na mtu.

Halafu bado mtu unafuga mtu kama huyo ndani vitu vingine mnajitaka wenyewe kwa kung'ang'ania vitu ambavyo hata Mungu mwenyewe alishidwa vumilia akafukuza watu bustan ya eden .kuzaliwa mwanaume raha sana ila tu kama haujibebeshi na kufuga matatizo yasiyo kuhusu ambayo haujasababisha wewe ili tu usifiwe.
 
Back
Top Bottom