Eti "Mwanamke ukimjaza mimba ndio anatulia" nani kakudanganya?

Eti "Mwanamke ukimjaza mimba ndio anatulia" nani kakudanganya?

Habari zenu ......! Naona wanaume tunaendelea kujitengenezea maisha magumu, maisha ya kuhangaika na ada za watoto Hadi uzeeni....

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asilimia kubwa ya wanawake hawaelewi nini wanataka.
 
Hahahaha mkuu ni heri nife na mtoto mmoja nayejimudu kumuhudumia mahitaji yote ya msingi kuliko kua na idadi ya watoto tegemezi.
Kuna watu wanawatoto wengi unaweza ukashangaa alafu sababu ya hao watoto kuwepo Ni wivu wa kimapenzi
 
Asilimia kubwa ya wanawake hawaelewi nini wanataka.
Mzee wewe ndio hujielewi ...kungekua unaelewa wanawake Ni watu wenye akili timamu kabisa .ndio maana hata shuleni hakuna mitihani ya wanawake na wanaume wote mtihani Ni mmoja.

Hivyo jua anapo fanya yake ujue anaakili zake timamu
 
Asante
 
Back
Top Bottom