Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,662
Jana nimekaa karibu na madada wawili maeneo ya mjini (Kumbuka sio kila sehemu Dar ni mjini) restaurant fulani nikipata juice ya miwa.
Hao madada walionekana kusurf sana Jamiiforums hasa MMU, mara mmoja akasema kuwa, nasikia mwanzilishi wa Jamiiforums ni Mzungu mzaliwa wa Calfonia.
Wewe walibishana sana bila kufikia mwafaka, mwisho mimi nikawa nimeondoka.
Tuache kupotoshana na kama humjui mwanzilishi wa Jamiiforums basi leo umepata wasaa wa kumfahamu kwa picha bila chenga.
Huyu dogo tutakutana naye pale katika mdahalo kuelekea Oktoba 2015, Nkurumah Hall, UDSM.
Dogo mwenyewe sasa: http://www.fikrapevu.com/wp-content/uploads/2012/10/maxence-melo.jpg
Hapa yupo na mke wake: http://2.bp.blogspot.com/-FFhtAfWzdJY/UvvYeCvxWKI/AAAAAAAA_Zs/-PKGlqfVjtc/s1600/20140212_161524.jpg
Hapa anatoa neno la shukrani siku ya harusi yake: http://1.bp.blogspot.com/-WHo-qTSk-FY/Ujmp7KP7njI/AAAAAAAA4Gw/JiHrRytJSbQ/s640/6.jpg
Hapa http://swahili.cri.cn/mmsource/images/2012/07/07/Maxence.JPG anaangalia lakini macho yake hayaamini vitu anvyopost Evelyn Salt MMU!
Tyta njoo endelea na picha zaidi
cc lara 1, miss chagga na Mamaids wote wa MMU.

Last edited by a moderator: