Eti Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni yupi hapa?

Kichuchunge

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
384
Reaction score
970
Nimeuliza tu ili tusije kukuta na mmoja tukampa heshima ya cheo kikubwa kumbe siye.

DOTO, KULWA.jpg
 
Kwani huyu dotto ni pacha? Kwa hiyo kuna kurwa na dotto?
 
ndio kulwa aligombea ubunge jimbo la Busanda Geita akakatwa kwa tuhuma za kuzidisha >dp world< mwaka 2023.
agombee tena akishinda naye ateuliwa kuwa waziri ili iwe rekodi kurwa na doto wote kuwa ndani ya baraza la mawaziri
 
Ndiyo! Identical twins!
kwa kawaida kurwa na dotto hulambishwa asali wote, na hasa wanaofanana wakitokea mfuko mmoja wa uzazi. Wale mambo yao huwa sare sare kama walivyofanana. Chama chao kifikirie kumuingiza kwenye kura za maoni na ashinde ubunge kisha naye ateuliwe kuwa waziri. Moja akiwa waziri mkuu mwingine awe naibu wake au vyovyote vile tuwaone kwenye utendaji wao kama unalingana, kuna cha kujifunza kutokana na akili zao walivyo mapacha
 
We unaleta mchezo, kwani hii unayoizungumzia hapa si ni serikali!?
 
Nasiki alikuwa diplomat katika ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji, aka resign na kurudi Tz kugombea ubunge
 
kuna kitu cha kujifunza kwa mapacha wanaofanya kazi pamoja serikalini. Je ufani wao uko sawa?, au kila mmoja ana akili zake wakati tumejifunza kuwa mapacha wanaofanana wana akili inayofanana pia
 
agombee tena ubunge ili tuje kupata kurwa na doto katika baraza la mawaziri. Kama doto amefanya vizuri hata kurwa naye atafanya vizuri. Tupate rekodi ya pacha katika baraza la mawaziri
 
kuna kitu cha kujifunza kwa mapacha wanaofanya kazi pamoja serikalini. Je ufani wao uko sawa?, au kila mmoja ana akili zake wakati tumejifunza kuwa mapacha wanaofanana wana akili inayofanana pia
Sioni umuhimu wa kujifunza ufanisi wapacha katika utendaji kazi, na hata kama kuna umuhimu huo basi tusifanye baraza la mawaziri kama ndio sehemu ya majaribio.

Sasa kama ndio watakuwa/ hawatakuwa na ufanisi, baada ya hapo ndio itakuwa nini?
 
Back
Top Bottom