Eti nani anasema baki njia kuu

Eti nani anasema baki njia kuu

Uneshamuona njia kuu anapewa uraisi wa wilaya? Au kujengewa nyumba. Nyumba ikijengwa ni ya familia na mume akipata matatizo inaweza iuzwe lakini Nani amekwambia nyumba ya mchepuko inauzwa ili kuiokoa familia?
Eti sky hii inawahusu wanandoa tyuuu au ???
 
Uneshamuona njia kuu anapewa uraisi wa wilaya? Au kujengewa nyumba. Nyumba ikijengwa ni ya familia na mume akipata matatizo inaweza iuzwe lakini Nani amekwambia nyumba ya mchepuko inauzwa ili kuiokoa familia?
Unamtafuta pogba
 
Uneshamuona njia kuu anapewa u monitor wa darasa? Au kujengewa nyumba. Nyumba ikijengwa ni ya familia na mume akipata matatizo inaweza iuzwe lakini Nani amekwambia nyumba ya mchepuko inauzwa ili kuiokoa familia?
Kibonde hahaaha
 
Hapo kwenye U monitor wa darasa ulimaanisha nini Mamie?
 
Uneshamuona njia kuu anapewa u monitor wa darasa? Au kujengewa nyumba. Nyumba ikijengwa ni ya familia na mume akipata matatizo inaweza iuzwe lakini Nani amekwambia nyumba ya mchepuko inauzwa ili kuiokoa familia?
Kumbe wewe mchokozi hivi?
 
Uneshamuona njia kuu anapewa u monitor wa darasa? Au kujengewa nyumba. Nyumba ikijengwa ni ya familia na mume akipata matatizo inaweza iuzwe lakini Nani amekwambia nyumba ya mchepuko inauzwa ili kuiokoa familia?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom