Eti ni kwanini? Hebu tuambie...

Thanks xspin...
 
Chrispin its easy for me to express myself kiblurey than kiswahili blame mwalimu wangu wakiswahili... halafu Masaki na bht hawataki kunisaidia ku improve kiswahili... labda wewe unisaidie kuwa convince...
 
Mi nataka unifundishe twisheni ya Kiblurey
 
Chrispin its easy for me to express myself kiblurey than kiswahili blame mwalimu wangu wakiswahili... halafu Masaki na bht hawataki kunisaidia ku improve kiswahili... labda wewe unisaidie kuwa convince...

tatizo tutagongana sana kwenye lugha maana mie kibluray not richabo hapa
labda Masaki awe kiunganishi kwa hapo tu ntakuwa wa msaada kwako shostito....
 
Chrispin its easy for me to express myself (in) kiblurey than (in) kiswahili blame mwalimu wangu wakiswahili... halafu Masaki na bht hawataki kunisaidia ku improve kiswahili... labda wewe unisaidie kuwa convince...

Mimi naona KISWAHILI uko DEEP zaidi ya Kiingereza.
 
Mimi naona KISWAHILI uko DEEP zaidi ya Kiingereza.

Hahaha! Kiongozi hebu do the needful hapo. Inaelekea TUKI is not richabo....mimi naona noname uwe mwalimu wa KISWAHILI wa JF
 
Sikupata na hivyo ikawa challenge kwangu kuangalia the other side of life ambayo i think i like it more. so it was a blessing in ...................

....disguise!!!
 
Chrispin its easy for me to express myself kiblurey than kiswahili blame mwalimu wangu wakiswahili... halafu Masaki na bht hawataki kunisaidia ku improve kiswahili... labda wewe unisaidie kuwa convince...

bht ndiye mwalimu wako rasmi, mimi ni msaidizi wake! Hata hivyo ujumbe wako huwa unafika vizuri tu kwa walengwa hata kwa lugha hiyo ya malkia.
 
tatizo tutagongana sana kwenye lugha maana mie kibluray not richabo hapa
labda Masaki awe kiunganishi kwa hapo tu ntakuwa wa msaada kwako shostito....

Tehe tehe tehe tehe, kwenye soko la kubadilishia fedha za kigeni (foreign exchange market) mimi hapo nitakuwa ''common currency'' !!!
 
?Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana, mshiki kakudhibiti?!
1-mshikiiz HAJANIDHIBITI

2-nimekuwa mpole,au niwe more precise VIDOLE NA KEYBOARD VIMEKOSA USHIRIKIANO baada ya mkuloni kuniongezea frustration

3.LAKINI PIA,kwasasa ninawasiliana na kuonana na wana jf wengi sana LIVE.kwa hiyo jukwaa langu sasa hivi ni baa na xtreme sms.(some fifteen minutes ago nilikuwa na mkuu DARK CITY brekipointi hapo tulikuwa tuna do the needful.(HILI SWALA LA KUONANA MARA KWA MARA NA MEMBERZ LIVE,limenipunguzia sana spidi ya kutaipu...)

4-NILISHAKWAMBIA JANA WAKATI TUNAAGANA PALE KAUNTA KWAMBA LEO NAKUJA UKWENI RHOMBO(please note zic)
 
bora mi simo kwenye orodha ya kujieleza na kujitetea.
 
Hapo kwenye red panahitaji thread inayojitegemea. Nayo itauliza, ''Je wanachama wa JF wakifahamiana, uhuru wao wa kutoa maoni jamvini unapongua?''
 
Chrispin, hii avatar yako ya glass ya bia iliyokwisha kabisa inaashiria nini? Kwamba siku hizi hukai tena kaunta? Maana kaunta huwa ni kata mti, panda mti, hakuna kukaukiwa, yaani mwanzo mwisho!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…