Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
Cha kwanza ntakachohakikisha unapona ugonjwa wa hangover.Hili nalo neno. Waiting!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cha kwanza ntakachohakikisha unapona ugonjwa wa hangover.Hili nalo neno. Waiting!
Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana, mshiki kakudhibiti?
Mzee Mwanakijiji: Utastaafu lini siasa uanze mapenzi rasmi? Siasa haina kustaafu?
Firstlady1: Mbona kasi yako ya kupost imepungua, Umeshaanza kwenda Kliniki?
Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana, mshiki kakudhibiti?
PakaJimmy: Kwanini hupendi kwenda kanisani mpaka Kwaresma ianze?
Bigirita: Siku hizi umekuwa Premium Member, unamshauri nini Nyivonduma sir?
Fidel80: Tangu ulipoacha kujiexpress, unahisi umemiss kitu gani?
Carmel: Bado uko desperate kutafuta ile kitu au umefanikiwa? Mbona hutuambii?
Kimey: Hivi ukilala bila kupata kileo unahisi utapunguza siku zako za kuishi?
Kaizer: Hivi bila ku do the needful unahisi kiwango cha kupiga organ kitashuka?
Mwanajamiione: Tangu ulivue pendo hujahisi kuwa unahitaji kulipanda tena?
Bht: Yale mazoezi ya kupunguza uzito yamekusaidia chochote?
Nguli: Unahisi bila freestyle muziki wa kizazi kipya bado hautanoga?
Maria Roza: Unajisikiaje unavyowahamishia wapwa kwenye lile jukwaa lako?
Noname: Hivi ukitumia kiswahili unahisi ujumbe wako hautafika unavyotaka?
Akili Kichwani: Pearl mambo tayari au unaogopa wapwa wasikupoke? Mbona jii?
Sipo: Unaonaje ukirudi mjini? Huoni huko uliko umeshafulia?
Edson: Ile namba ya simu kwanini hutaki kumpa Kaizer? Unaogopa nini?
Next Level: Kwanini unachanganya konyagi na club soda?
Preta: Kwanini unaogopa kutembelea sehemu zenye baridi?
Lily Flower: Kwanini umeamua kurudi Vodacom, Tigo imekuchosha?
Nyamayao; Nimekumisi sana, martenity leave inaisha lini?
Jerome: Hiyo avatar yako, hicho kidole kinamaanisha nini?
Masaki: Huoni kuwa sasa unahitaji kumrudia Mola wako? Pombe imekushinda?
Pearl: Hivi ni lazima uende kazini ndio uwe online JF?
Baba Enock: Lini utanitafuta Viola Pub nikununulie bia baridi?
Dark City: Umeacha tabia yako ya kupekua simu ya mkeo?
Masanilo: Kwanini ulitoroka kwenye ile Rehab? Huwezi kulala bila kunywa?
Shishi: Umeamua kufunga ndoa baada ya kupata kitambi? Ulitesti kwanza?
Charity: Unaonaje ukiacha kazi unayofanya ukawa daktari wangu?
Wengine: Mnahisi kwanini sijawauliza swali? Msijali: Leo ni Furahi dei, nina hangover!
Unahisi kwa nini?
Tutadiscuss faragha.Niko kwa ajili yako hilo ulijue mapema.
Chrispin its easy for me to express myself kiblurey than kiswahili blame mwalimu wangu wakiswahili... halafu Masaki na bht hawataki kunisaidia ku improve kiswahili... labda wewe unisaidie kuwa convince...

Chrispin its easy for me to express myself (in) kiblurey than (in) kiswahili blame mwalimu wangu wakiswahili... halafu Masaki na bht hawataki kunisaidia ku improve kiswahili... labda wewe unisaidie kuwa convince...
Sikupata na hivyo ikawa challenge kwangu kuangalia the other side of life ambayo i think i like it more. so it was a blessing in ...................
Chrispin its easy for me to express myself kiblurey than kiswahili blame mwalimu wangu wakiswahili... halafu Masaki na bht hawataki kunisaidia ku improve kiswahili... labda wewe unisaidie kuwa convince...
tatizo tutagongana sana kwenye lugha maana mie kibluray not richabo hapa
labda Masaki awe kiunganishi kwa hapo tu ntakuwa wa msaada kwako shostito....
Masaki: Huoni kuwa sasa unahitaji kumrudia Mola wako? Pombe imekushinda?
1-mshikiiz HAJANIDHIBITI?Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana, mshiki kakudhibiti?!
mzee mwanakijiji: Utastaafu lini siasa uanze mapenzi rasmi? Siasa haina kustaafu?
Firstlady1: Mbona kasi yako ya kupost imepungua, umeshaanza kwenda kliniki?
Geoff: Siku hizi umekuwa mpole sana, mshiki kakudhibiti?
Pakajimmy: Kwanini hupendi kwenda kanisani mpaka kwaresma ianze?
Bigirita: Siku hizi umekuwa premium member, unamshauri nini nyivonduma sir?
Fidel80: Tangu ulipoacha kujiexpress, unahisi umemiss kitu gani?
Carmel: Bado uko desperate kutafuta ile kitu au umefanikiwa? Mbona hutuambii?
Kimey: Hivi ukilala bila kupata kileo unahisi utapunguza siku zako za kuishi?
Kaizer: Hivi bila ku do the needful unahisi kiwango cha kupiga organ kitashuka?
Mwanajamiione: Tangu ulivue pendo hujahisi kuwa unahitaji kulipanda tena?
Bht: Yale mazoezi ya kupunguza uzito yamekusaidia chochote?
Nguli: Unahisi bila freestyle muziki wa kizazi kipya bado hautanoga?
Maria roza: Unajisikiaje unavyowahamishia wapwa kwenye lile jukwaa lako?
Noname: Hivi ukitumia kiswahili unahisi ujumbe wako hautafika unavyotaka?
Akili kichwani: Pearl mambo tayari au unaogopa wapwa wasikupoke? Mbona jii?
Sipo: Unaonaje ukirudi mjini? Huoni huko uliko umeshafulia?
Edson: Ile namba ya simu kwanini hutaki kumpa kaizer? Unaogopa nini?
Next level: Kwanini unachanganya konyagi na club soda?
Preta: Kwanini unaogopa kutembelea sehemu zenye baridi?
Lily flower: Kwanini umeamua kurudi vodacom, tigo imekuchosha?
Nyamayao; nimekumisi sana, martenity leave inaisha lini?
Jerome: Hiyo avatar yako, hicho kidole kinamaanisha nini?
Masaki: Huoni kuwa sasa unahitaji kumrudia mola wako? Pombe imekushinda?
Pearl: Hivi ni lazima uende kazini ndio uwe online jf?
Baba enock: Lini utanitafuta viola pub nikununulie bia baridi?
Dark city: Umeacha tabia yako ya kupekua simu ya mkeo?
Masanilo: Kwanini ulitoroka kwenye ile rehab? Huwezi kulala bila kunywa?
Shishi: Umeamua kufunga ndoa baada ya kupata kitambi? Ulitesti kwanza?
charity: Unaonaje ukiacha kazi unayofanya ukawa daktari wangu?
wengine: Mnahisi kwanini sijawauliza swali? Msijali: Leo ni furahi dei, nina hangover!
1-mshikiiz HAJANIDHIBITI
2-nimekuwa mpole,au niwe more precise VIDOLE NA KEYBOARD VIMEKOSA USHIRIKIANO baada ya mkuloni kuniongezea frustration
3.LAKINI PIA,kwasasa ninawasiliana na kuonana na wana jf wengi sana LIVE.kwa hiyo jukwaa langu sasa hivi ni baa na xtreme sms.(some fifteen minutes ago nilikuwa na mkuu DARK CITY brekipointi hapo tulikuwa tuna do the needful.(HILI SWALA LA KUONANA MARA KWA MARA NA MEMBERZ LIVE,limenipunguzia sana spidi ya kutaipu...)
4-NILISHAKWAMBIA JANA WAKATI TUNAAGANA PALE KAUNTA KWAMBA LEO NAKUJA UKWENI RHOMBO(please note zic)