Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,039
- 7,465
Kwa mama Tarimoduh....nimekusoma apo Hommie.....mbege inahusu😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mama Tarimoduh....nimekusoma apo Hommie.....mbege inahusu😀
Hehehe!Mkuu niligundua nikiwa pale kona bar, nimetoka kunyoa nikaona ni-do ze needful pale mapemaaa!! si nakaona watu wanapita na matawi, wametoka church.
DUH!!..tafuta ile kiwani usome hapo juu!!
Mkuu niligundua nikiwa pale kona bar, nimetoka kunyoa nikaona ni-do ze needful pale mapemaaa!! si nakaona watu wanapita na matawi, wametoka church.
DUH!!..tafuta ile kiwani usome hapo juu!!
Hahahahaaa!!! mi niliambiwa na dads moja hivi, eti kijana mzuuuri, lakini ukilewa unavyokuwa kama mzee, ngoja nitakupiga picha nikuonyeshe asubuhi.Hehehe!
Wengine na matawi
Wengine na bapa.
Lakini wote ni watoto wa baba mmoja. Na ufalme wa mbinguni ni wetu!
Mi Jumamosi naamka nasikia watu wanaimba nje. Ka Matesha kangu kalikuwa kanaumwa basi roho ikanitoka kwa muda. Nikajua ntolee.
Kumbe Jumuiya walikuwa wanasali kwangu.
Baba mwenye nyumba wala hata sijui. Hehehehe! Wife kanambia aliniamsha mpaka akachoka.
Hapo tu! Hapo tu basi ndipo napoipendea miksa!
sasa nilikuwa nshaonja, ningeenda hata misa ya nne lakini sikuwa na la kufanya.Yesuuuuuuuuuuuu!!! nilikuwa sijajua kuna tumaandishi twa rangi ya yebo yebo hapo!!
B jamani uwiii umenichekesha sana!!!
Tatizo unacheka afu humtendei haki yake kwenye yuzifuli posti.Yesuuuuuuuuuuuu!!! nilikuwa sijajua kuna tumaandishi twa rangi ya yebo yebo hapo!!
B jamani uwiii umenichekesha sana!!!
Hehehe! Ukitaka kujua sura ya mlevi mwangalie wakati anamiminia konyagi kavu kwenye koromeo. Utadhani mamba kabeba mimba ya tembo! LOLZ!Hahahahaaa!!! mi niliambiwa na dads moja hivi, eti kijana mzuuuri, lakini ukilewa unavyokuwa kama mzee, ngoja nitakupiga picha nikuonyeshe asubuhi.
Umenikumbusha kuna siku nilienda misa ya usiku. Benchi zima tulikuwa tumekutana. Raha ilikuwa wakati tunaimba wimbo maarufu wa xmass.sasa nilikuwa nshaonja, ningeenda hata misa ya nne lakini sikuwa na la kufanya.
si unajua kwenda church ukiwa intoxicated ni issue.
Hehehe!
Wengine na matawi
Wengine na bapa.
Lakini wote ni watoto wa baba mmoja. Na ufalme wa mbinguni ni wetu!
Mi Jumamosi naamka nasikia watu wanaimba nje. Ka Matesha kangu kalikuwa kanaumwa basi roho ikanitoka kwa muda. Nikajua ntolee.
Kumbe Jumuiya walikuwa wanasali kwangu.
Baba mwenye nyumba wala hata sijui. Hehehehe! Wife kanambia aliniamsha mpaka akachoka.
Hapo tu! Hapo tu basi ndipo napoipendea miksa!
Triplets: Kama ungekuwa nesi/daktari, usingeogopa kuchoma sindano njemba yenye vinyweleo mpaka makalioni?
.
Binamu na wewe! mtu hachomwi sindano huko ziliko bana! haya nesi mzima sijui daktari anatafuta nini huko kwenye nywele za watu? hata zikiwepo hazina shida, Hizo si pubic hair tuu?!
Kama ni public hair kwanini hazinyolewi saluni?
hahahahaa!!! nimecheka sana hapa,Du hommie kweli nimegundua usober huuwezi...mwenzio anazungumzia "pubic" hair sio "public" and "pubic" hair is not meant to be public-unless u decide to make it "public"😀
hahahahaa!!! nimecheka sana hapa,
akiwa sober haoni vizuri
Du hommie kweli nimegundua usober huuwezi...mwenzio anazungumzia "pubic" hair sio "public" and "pubic" hair is not meant to be public-unless u decide to make it "public"😀
hahahahaa!!! nimecheka sana hapa,
akiwa sober haoni vizuri
Yo Yo Yo Girl I can hear u 🙄 I actually failed to understand u which is fine because sometimes I fail to understand myself... I wont take it personal since I dont know u well and am sure u dont know me... u actually remind me of High School teens,haoni na pia ubongo wake unafanya kazi backwards
hahaaaa biggy umenimaliza from pubic to public.....kibluray sio wala kinoname sio
Dah! Hommie we acha tu! Hapo umenifumbua macho! Sitarudia kuwa sober tena!Du hommie kweli nimegundua usober huuwezi...mwenzio anazungumzia "pubic" hair sio "public" and "pubic" hair is not meant to be public-unless u decide to make it "public"😀
Kiongozi nikisahau mawani yangu afu bahati mbaya nikawa sober basi ujue kwisha habari yangu.hahahahaa!!! nimecheka sana hapa,
akiwa sober haoni vizuri
Hapo ndipo unapokosea hommie. Visu tena? Afu valeur atakamata nani?Kiongozi,, huyu akiendelea kuwa sober anaweza kudumisha mila na kina Eliza wakaishia kuchomana visu
hommie ka do ze nidiful apo kidongo chekundu urudi normal bana
Shhhh! taratibu mamushka!haoni na pia ubongo wake unafanya kazi backwards
hahaaaa biggy umenimaliza from pubic to public.....kibluray sio wala kinoname sio
Eheeee! Hapo sasa.Yo Yo Yo Girl I can hear u 🙄 I actually failed to understand u which is fine because sometimes I fail to understand myself... I wont take it personal since I dont know u well and am sure u dont know me... u actually remind me of High School teens,
ha ha ha hommieNoname mambo? Naomba usinitoe knock out,(lugha ya ujamaa na kujitegemea) jana sikuyaonja ya kutosha na kale kadikishenari kangu nimekasahau kaunta.
hii sredi kumbe imekimbia sana!
hahahaha!gimmie two minsnakushauri kaake mimi usisome kiarabu utaharibu
anzia ulipo ishia ili twende sawa
BTW: ulipigwa ban yahoo pia???