hahahaha!gimmie two mins
Kama muda wote namuona hapa JF, na huko Yahoo sijui ndio mamesenja nako pia anahudhuria, mkoloni anatumikiwa saa ngapi wajameni??? Dah Hii hangover hapa naona maruweruwe...... Kama namwona Frank Ribbery......I mean Man United akiolewa.....😀😀nakushauri kaake mimi usisome kiarabu utaharibu
anzia ulipo ishia ili twende sawa
BTW: ulipigwa ban yahoo pia???
Yo Yo Yo Girl I can hear u 🙄 I actually failed to understand u which is fine because sometimes I fail to understand myself... I wont take it personal since I dont know u well and am sure u dont know me... u actually remind me of High School teens,
ok Kiddo umeanza kuwa annoying... www.dictionary.com let it be ur friend... na isipokusaidia u can put me on ur Ignore list ( I guess it works)... I really dont have time for this...Eheeee! Hapo sasa.
Noname mambo? Naomba usinitoe knock out,(lugha ya ujamaa na kujitegemea) jana sikuyaonja ya kutosha na kale kadikishenari kangu nimekasahau kaunta.
hehehe!nilijua tu.Kama muda wote namuona hapa JF, na huko Yahoo sijui ndio mamesenja nako pia anahudhuria, mkoloni anatumikiwa saa ngapi wajameni??? Dah Hii hangover hapa naona maruweruwe...... Kama namwona Frank Ribbery......I mean Man United akiolewa.....😀😀
ok Kiddo umeanza kuwa annoying... www.dictionary.com let it be ur friend... na isipokusaidia u can put me on ur Ignore list ( I guess it works)... I really dont have time for this...
Kama muda wote namuona hapa JF, na huko Yahoo sijui ndio mamesenja nako pia anahudhuria, mkoloni anatumikiwa saa ngapi wajameni??? Dah Hii hangover hapa naona maruweruwe...... Kama namwona Frank Ribbery......I mean Man United akiolewa.....😀😀
Thanks for your assistance. Ntaanza na ABCDs. But you do not belong to my IGNORE list, if you must kill me. You knoo woram seyying? Hapo kwenye red, ngoja niende kanisani, nlishasahau hii ni Kwaresma..........ok Kiddo umeanza kuwa annoying... www.dictionary.com let it be ur friend... na isipokusaidia u can put me on ur Ignore list ( I guess it works)... I really dont have time for this...
Ebo! Kumbe ntabaki peke yangu nikifanya masihara! Ngoja niingie mkataba na kadikshenare kangu kwa Eng-Swa from TUKI with love.kweli miwani yako inaona
mie kwangu not seenable kabisa, sijui nimeingia kwenye list yake kama ya Masanilo
me donno!!
Ebo! Kumbe ntabaki peke yangu nikifanya masihara! Ngoja niingie mkataba na kadikshenare kangu kwa Eng-Swa from TUKI with love.
Hommie don't 4get to send a copy!! I have lost mine!! dah hapa sijui nimepiga kinnEbo! Kumbe ntabaki peke yangu nikifanya masihara! Ngoja niingie mkataba na kadikshenare kangu kwa Eng-Swa from TUKI with love.
Hommie don't 4get to send a copy!! I have lost mine!! dah hapa sijui nimepiga kinn
Kama mwalimu ndo huyo basi SUP zitahusika kwa sana!
Nimemuona mamushka! Naanza kutilia mashaka birth certificate yake!biggy umemuona mwenzio Meku???
dah afu mwalimu huyu bana watu wana-disco nini ku-SUP!!!
Baba Enock: Lini utanitafuta Viola Pub nikununulie bia baridi?
hommie ni hangover tu hii inanisaidia nadhani ikiisha ntaanza kuflow the opposite ya kiblurayHahaha! Hivi Hommie ulinambia ulizaliwa Northingham au Birmingham? Huwezi kuflow namna hiyo wakati huna alkoholi kumkichwa!
Ubarikiwe na Bwana aliyeziumba Mbingu na Nchi.Mkuu
Long weekend - Jumamosi itakuwa muafaka: baada ya Ibada ya Mkesha wa Pasaka : Tutakuwa tumewekwa HURU baada ya kumshinda shetani
hommie ni hangover tu hii inanisaidia nadhani ikiisha ntaanza kuflow the opposite ya kibluray
Mamushka ngoja nikujoin huko maana naona hapa inaweza ikawa inshu!!hahaaaaaa!!!
Meku mi sinilisema leo nafia nchi lakini??