Kikojoleo cha kiume - kikojoleo cha kikeLaku & nyaku
Mkuu sidhani kama upo serious na baadhi ya mifano yako hapo juu!!leo siwasalimii naanza na mada moja kwa moja
inasemekana vitu vyote duniani vimeumbwa viwiliviwili ila kimoja ni kinyume na mwenzake,mfano
mwanaume-mwanamke
Ugali-Wali
mahindi-mpunga
mwanga-giza
kulia-kushoto
usiku-mchana
kiangazi-masika
Jua-mvua
na kadhalika na kadhalika.kama unajua vingine ongeza au kama hukubaliani tuelezee
Vipi kwaMkuu sidhani kama upo serious na baadhi ya mifano yako hapo juu!!
Nani kakuambia kua kinyume cha Ugali ni wali?! Au unafuata tu mazowea kwa vile watu wengi na hasa Bongo hula wali na ugali? Kwanini isiwe kinyume cha ugali ni ndizi,mihogo,viazi n.k?
Kumbuka umeongelea Vitu vilivyoumbwa hapa DUNIANI,
kwanini kinyume cha Jua kiwe mvua? Au kinyume cha Mahindi kiwe mpunga? Na sio Uwele,mtama,etc? Mfano wa mwanaume-mwanamke,Mwanga-giza hapo tupo pamoja.
Kwake mbadala wa ugali ni wali hakuna kingine!Mkuu sidhani kama upo serious na baadhi ya mifano yako hapo juu!!
Nani kakuambia kua kinyume cha Ugali ni wali?! Au unafuata tu mazowea kwa vile watu wengi na hasa Bongo hula wali na ugali? Kwanini isiwe kinyume cha ugali ni ndizi,mihogo,viazi n.k?
Kumbuka umeongelea Vitu vilivyoumbwa hapa DUNIANI,
kwanini kinyume cha Jua kiwe mvua? Au kinyume cha Mahindi kiwe mpunga? Na sio Uwele,mtama,etc? Mfano wa mwanaume-mwanamke,Mwanga-giza hapo tupo pamoja.
Mkuu, yaani hiyo sio duniani bali ni kwa mujibu wa fikra zako. Mifano uliyotoa hapo juu sio universal bali ni ya kimazingira zaidi mfano Ugali- wali, mahindi - mpunga,leo siwasalimii naanza na mada moja kwa moja
inasemekana vitu vyote duniani vimeumbwa viwiliviwili ila kimoja ni kinyume na mwenzake,mfano
mwanaume-mwanamke
ugali-wali
mahindi-mpunga
mwanga-giza
kulia-kushoto
usiku-mchana
kiangazi-masika
jua-mvua
na kadhalika na kadhalika.kama unajua vingine ongeza au kama hukubaliani tuelezee
Sawa kabisa Mkuu,ndio hata mimi kanishangaza,eti kinyume cha wali ni ugali..!!Mkuu, yaani hiyo sio duniani bali ni kwa mujibu wa fikra zako. Mifano uliyotoa hapo juu sio universal bali ni ya kimazingira zaidi mfano Ugali- wali, mahindi - mpunga,
Sawa Mkuu, lakini vingine havijaumbwa bali vimetengezwa na binadamu kulingana na mazingira yao; kwa mfano ugali-wali ni vya kutengenezwa tu na binadamu na havifanani dunia nzima, ugali naopikwa Tanzania sio sawa na ugali unaopikwa Sweden, kuna siku rafiki yangu Mswidish aliniambia leo twende ukale ugali, nilikuwa nimekaa Sweden kwa muda wa miezi 6 na nimemiss kweli chakula cha nyumbani (Tz) hususani ugali na nyama choma. Basi akanipeleka kwenye mgahawa unaomilikiwa na mtu kutoka Botswana, kwa kuwa mmiliki wa mgahawa alikuwa kutoka Afrika, na rafiki yangu alishakuja Tz akala ugali na kuupenda, alijua moja kwa moja tukifika pale nikimweleza yule Mtswana atatupikia ugali mtama kama wa Tz. Basi akampigia simu, akamwambia tukipikie ugali tutakuja jioni kula, nakuja na ndugu yako kutoka Afrika. Huwezi kuamini, tulipofika tulikuta uji mzito wa kuchota na kijiko !!!! Ikabidi nimwombe niwapike ugali waone ukoje, basi wakaniandalia maji, nikayasimamia yakachemka kama huko kwetu, nikaweka unga na kuanza kupika kwa kuzungusha mwiko kama ambavyo ugali unapikwa, wao wanashangaa tu, wakabaki kupiga picha - still and mobile. Kwa kweli wote walipenda ugali ule, week'nd nyingine wakaniambia niende tena kuwafundisha, baada ya kumaliza shule na kurudi Tz mpaka sasa wananiambia wanapika ugali na wakisahau wanaangali picha walizonipiga !!!!ni mifano tu ya vitu vinavoendana,
InterestedSawa Mkuu, lakini vingine havijaumbwa bali vimetengezwa na binadamu kulingana na mazingira yao; kwa mfano ugali-wali ni vya kutengenezwa tu na binadamu na havifanani dunia nzima, ugali naopikwa Tanzania sio sawa na ugali unaopikwa Sweden, kuna siku rafiki yangu Mswidish aliniambia leo twende ukale ugali, nilikuwa nimekaa Sweden kwa muda wa miezi 6 na nimemiss kweli chakula cha nyumbani (Tz) hususani ugali na nyama choma. Basi akanipeleka kwenye mgahawa unaomilikiwa na mtu kutoka Botswana, kwa kuwa mmiliki wa mgahawa alikuwa kutoka Afrika, na rafiki yangu alishakuja Tz akala ugali na kuupenda, alijua moja kwa moja tukifika pale nikimweleza yule Mtswana atatupikia ugali mtama kama wa Tz. Basi akampigia simu, akamwambia tukipikie ugali tutakuja jioni kula, nakuja na ndugu yako kutoka Afrika. Huwezi kuamini, tulipofika tulikuta uji mzito wa kuchota na kijiko !!!! Ikabidi nimwombe niwapike ugali waone ukoje, basi wakaniandalia maji, nikayasimamia yakachemka kama huko kwetu, nikaweka unga na kuanza kupika kwa kuzungusha mwiko kama ambavyo ugali unapikwa, wao wanashangaa tu, wakabaki kupiga picha - still and mobile. Kwa kweli wote walipenda ugali ule, week'nd nyingine wakaniambia niende tena kuwafundisha, baada ya kumaliza shule na kurudi Tz mpaka sasa wananiambia wanapika ugali na wakisahau wanaangali picha walizonipiga !!!!
Hiyo ilikuwa miongoni mwa matukio yaliyonipatia marafiki ambao hadi sasa tunawasiliana na kutembeleana.Interested