Eti ni kweli duniani vitu vyote vimeumbwa viwili viwili?

Eti ni kweli duniani vitu vyote vimeumbwa viwili viwili?

Mkuu, yaani hiyo sio duniani bali ni kwa mujibu wa fikra zako. Mifano uliyotoa hapo juu sio universal bali ni ya kimazingira zaidi mfano Ugali- wali, mahindi - mpunga,
kwani duniania havipo?nimevitolea mfano kwakuwa vipo kwenye mazingira yetu na vinafahamika na watu wengi
 
leo siwasalimii naanza na mada moja kwa moja
inasemekana vitu vyote duniani vimeumbwa viwiliviwili ila kimoja ni kinyume na mwenzake,mfano
mwanaume-mwanamke
ugali-wali
mahindi-mpunga
mwanga-giza
kulia-kushoto
usiku-mchana
kiangazi-masika
jua-mvua
na kadhalika na kadhalika.kama unajua vingine ongeza au kama hukubaliani tuelezee
Magufuli-Lowasa
Shein-Seif
Mwelevu-Mjinga
 
Sasa ni vitu vimeumbwa viwili viwili au vitu vingi vimeumbwa "kinzani" yaani opposite?
Nadhani ilibidi title yako iwe hivyo maana kua viwili maana yake ni duplicate ya originality.
 
Back
Top Bottom