Eti ni kweli duniani vitu vyote vimeumbwa viwili viwili?

Mkuu, yaani hiyo sio duniani bali ni kwa mujibu wa fikra zako. Mifano uliyotoa hapo juu sio universal bali ni ya kimazingira zaidi mfano Ugali- wali, mahindi - mpunga,
kwani duniania havipo?nimevitolea mfano kwakuwa vipo kwenye mazingira yetu na vinafahamika na watu wengi
 
Magufuli-Lowasa
Shein-Seif
Mwelevu-Mjinga
 
Sasa ni vitu vimeumbwa viwili viwili au vitu vingi vimeumbwa "kinzani" yaani opposite?
Nadhani ilibidi title yako iwe hivyo maana kua viwili maana yake ni duplicate ya originality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…