Philip Dominick
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,021
- 189
Tanga kwetu lazima upige picha mnarani au pale kwenye bustani ya maktaba.
Mbeya lazima upige kwenye mnara wa makumbusho.
DsM lazima ipige nje ya lkulu
Tanga kwetu lazima upige picha mnarani au pale kwenye bustani ya maktaba.
Mbeya lazima upige kwenye mnara wa makumbusho.
DsM lazima ipige nje ya lkulu
Tanga? Mnara wa Round about ya mabanda ya papa, Bandari house, getini Bombo hopital, soko la ngamiani, kiwanda cha Foma, CCM hall, etc
Tanga kwetu lazima upige picha mnarani au pale kwenye bustani ya maktaba.
Mbeya lazima upige kwenye mnara wa makumbusho.
DsM lazima ipige nje ya lkulu
*Ukitaka watu wahakiki kama
umefika
DAR lazima upige picha daraja la
manzese
*ukitaka wahakiki kama umefika
mwanza lazima upige picha na
samaki mkubwa
*ukitaka wahakiki kama umefika
DODOMA
lazima upige picha bungeni
*kwa mikoa kama singida ambayo
haina kivutio chochote inabidi upige
picha na alizeti
alizeti ndio kivutio uc seme hakuna kivutio
Mara,lazima upige na mapanga,arusha lazima upige na mche wa bangi.