Dizain yako humu nahisi mnatakiwa muache kukoment kwenye kila uzi mnaokutana nao,haya wewe mwenye kazi em saidia mawazo yako hapa ili uwahi kwenye shughuli zako.Kweli jobless ni wengi tz
Bika shaka wee utakuwaa na njaa
Bora umwambie maana amejiona yeye ndo mjanja alafu nimemwambia asikariri akaona watu hatuna kazi ni vike tuu hatupendi kujionyeshaDizain yako humu nahisi mnatakiwa muache kukoment kwenye kila uzi mnaokutana nao,haya wewe mwenye kazi em saidia mawazo yako hapa ili uwahi kwenye shughuli zako.
Tuache kudharauliana kitu hukijui unakaa kimya wenye kujua waje na majibu.
Pale ni gears na bearings tu, mkuu! No cables no wires!Nasemea kile kijiko cha shughuli za uchimbaji mitaro ambacho josti yake inazungukia pale katikati kwenye kiuno hivi ni kweli ule mzunguko wake hauna mwisho yaani hakina mbele wala nyuma,
Na pale katikati kinapozukukia kwenye (josti)ukiancha jumba la juu lililobeba engine na gear liver na mkono wa kijiko,ile sehemu ya chini yenye diff na magurudumu ( chain tyre)hivi mawasiliano ya pale na kimashine cha juu kinachozunguka kuna nini pale katikati ambacho pamoja na mzunguko ule bado kinafanya conection zote za chain na diff na bado kinazunguka?
Naombeni kukuzwa.
Nasemea kile kijiko cha shughuli za uchimbaji mitaro ambacho josti yake inazungukia pale katikati kwenye kiuno hivi ni kweli ule mzunguko wake hauna mwisho yaani hakina mbele wala nyuma,
Na pale katikati kinapozukukia kwenye (josti)ukiancha jumba la juu lililobeba engine na gear liver na mkono wa kijiko,ile sehemu ya chini yenye diff na magurudumu ( chain tyre)hivi mawasiliano ya pale na kimashine cha juu kinachozunguka kuna nini pale katikati ambacho pamoja na mzunguko ule bado kinafanya conection zote za chain na diff na bado kinazunguka?
Naombeni kukuzwa.
Lakini majibu yapo
Wa stendi sasa unaomba ufahamishwe au ukuzwe ?Nasemea kile kijiko cha shughuli za uchimbaji mitaro ambacho josti yake inazungukia pale katikati kwenye kiuno hivi ni kweli ule mzunguko wake hauna mwisho yaani hakina mbele wala nyuma,