Eti ni kweli lile caterpilar linalozunguka pale katikati ule mzunguko hauna mwisho?

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Nasemea kile kijiko cha shughuli za uchimbaji mitaro ambacho josti yake inazungukia pale katikati kwenye kiuno hivi ni kweli ule mzunguko wake hauna mwisho yaani hakina mbele wala nyuma,

Na pale katikati kinapozukukia kwenye (josti)ukiancha jumba la juu lililobeba engine na gear liver na mkono wa kijiko,ile sehemu ya chini yenye diff na magurudumu ( chain tyre)hivi mawasiliano ya pale na kimashine cha juu kinachozunguka kuna nini pale katikati ambacho pamoja na mzunguko ule bado kinafanya conection zote za chain na diff na bado kinazunguka?
Naombeni kukuzwa.
 
Najua kijiko,kisu na uma
Uma ulikuja baadae but why?
Je mrija nao ulianzaje au waligunduaje?
Haya watajibu wasilojua swali lako
 
Dizain yako humu nahisi mnatakiwa muache kukoment kwenye kila uzi mnaokutana nao,haya wewe mwenye kazi em saidia mawazo yako hapa ili uwahi kwenye shughuli zako.

Tuache kudharauliana kitu hukijui unakaa kimya wenye kujua waje na majibu.
Bora umwambie maana amejiona yeye ndo mjanja alafu nimemwambia asikariri akaona watu hatuna kazi ni vike tuu hatupendi kujionyesha
 
Nasemea kile kijiko cha shughuli za uchimbaji mitaro ambacho josti yake inazungukia pale katikati kwenye kiuno hivi ni kweli ule mzunguko wake hauna mwisho yaani hakina mbele wala nyuma,

Na pale katikati kinapozukukia kwenye (josti)ukiancha jumba la juu lililobeba engine na gear liver na mkono wa kijiko,ile sehemu ya chini yenye diff na magurudumu ( chain tyre)hivi mawasiliano ya pale na kimashine cha juu kinachozunguka kuna nini pale katikati ambacho pamoja na mzunguko ule bado kinafanya conection zote za chain na diff na bado kinazunguka?
Naombeni kukuzwa.
Pale ni gears na bearings tu, mkuu! No cables no wires!
 
Kama ungekuwa una idea ya gear zinavyofanya kazi hili lisingekusumbua kichwa,ni somo refu kidogo,ukienda google utapata angalau mwanga...

Nilipoona Caterpillar nikajua ni yule tinga tinga wa kwenye magogo
 
Unaanzia wapi nifuatilie mwenyewe
Kama ungekuwa una idea ya gear zinavyofanya kazi hili lisingekusumbua kichwa,ni somo refu kidogo,ukienda google utapata angalau mwanga...
 
Nasemea kile kijiko cha shughuli za uchimbaji mitaro ambacho josti yake inazungukia pale katikati kwenye kiuno hivi ni kweli ule mzunguko wake hauna mwisho yaani hakina mbele wala nyuma,

Na pale katikati kinapozukukia kwenye (josti)ukiancha jumba la juu lililobeba engine na gear liver na mkono wa kijiko,ile sehemu ya chini yenye diff na magurudumu ( chain tyre)hivi mawasiliano ya pale na kimashine cha juu kinachozunguka kuna nini pale katikati ambacho pamoja na mzunguko ule bado kinafanya conection zote za chain na diff na bado kinazunguka?
Naombeni kukuzwa.
Wa stendi sasa unaomba ufahamishwe au ukuzwe ?
 
Back
Top Bottom