Eti ni kweli lile caterpilar linalozunguka pale katikati ule mzunguko hauna mwisho?

Eti ni kweli lile caterpilar linalozunguka pale katikati ule mzunguko hauna mwisho?

Sawa mkuu nashukuru
anzia Excavator Excavator - Wikipedia
ile sehemu ya juu (Cabin) na chini matairi huunganishwa na bearing zinatotembea kwenye ring kubwa hivyo kupata nyuzi 360 sawa tu na drive shaft inayotumia pivot joint ya gari inayovuta matairi ya mbele kwenye magari
 
Ina maana hakuna shafti wala proper yoyote mle katikati?
Mkuu shaft au propeller depends on your perception of the matter! Simply sema gears and bearings tu!

Ni Sawa na accessories zinazounganisha gearbox na engine kwa gari ndogo zinazovutwa na front wheels!
 
Back
Top Bottom