Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Eti wakuu hizi habari zina ukweli wowote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimechanganya mafile. Nilimaanisha Tausi.Huyo siyo Kasuku huyo ni Tausi mkuu.
Ndio ni nyara ya serikali. Kuanzia Tausi, Kasuku, wapo wengine nao ni lazima update kibali cha maliasili ndipo ufuge. Hao wawili dhamani yao ni kubwa fn Tausi mmoja anafika sh m 15. Kasuku wakubwa hasa wale wa kijifu hufika sh 7 k.
Hapa ndipo tunakwama. Kama wangeruhusu hawa ndege wafugwe wangezaliana kwa wingi na kuenziwa vizazi na vizazi. Ila ujuha wa watunga sheria ndio maana kila kizuri wanataka kibaki kwao tu.Ndio ni nyara ya serikali. Kuanzia Tausi, Kasuku, wapo wengine nao ni lazima update kibali cha maliasili ndipo ufuge. Hao wawili dhamani yao ni kubwa fn Tausi mmoja anafika sh m 15. Kasuku wakubwa hasa wale wa kijifu hufika sh 7 k.
Wanauzwa wapi? Tukanunue..Hamna ni story za vijiweni tu sio nyara hao
Wapo tu sema ujataka kuhangaikaWanauzwa wapi? Tukanunue..
Sasa wewe ndo umeandika comment aseee ahhaha..!Atakujibu Kinana
HahahahaSasa wewe ndo umeandika comment aseee ahhaha..!
Kanga naye anaruhusiwa?Kinacholuhusiwa ni kuku,bata na njiwa hawa wengne ni nyara za serekali
NdioKanga naye anaruhusiwa?
Wapo wa aina nyingi wewe ulie nae ni aina ipi? Na picha uweke.Wapo tu sema ujataka kuhangaika
Mimi ninae kasuku