Eti ni kweli ndege Tausi ni nyara ya Serikali na mtu wa kawaida haruhusiwi kufuga?

Kinacholuhusiwa ni kuku,bata na njiwa hawa wengne ni nyara za serekali
 
Ndio ni nyara ya serikali. Kuanzia Tausi, Kasuku, wapo wengine nao ni lazima update kibali cha maliasili ndipo ufuge. Hao wawili dhamani yao ni kubwa fn Tausi mmoja anafika sh m 15. Kasuku wakubwa hasa wale wa kijifu hufika sh 7 k.
Hapa ndipo tunakwama. Kama wangeruhusu hawa ndege wafugwe wangezaliana kwa wingi na kuenziwa vizazi na vizazi. Ila ujuha wa watunga sheria ndio maana kila kizuri wanataka kibaki kwao tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…