Sawa usihofu ,tegemea muamala ila Mzee mwenzangu Malcom Lumumba asije nitoa rohoMekutumia jina
Mzee PESA haijawahi mwangusha mtu yoyote yule....Mzee mwenzangu ,nakuaminia hutoniangusha
Wozeeeewewwr ngoja nikuje faster kwa pm hahahha sitaki kumwaga mchele kwa kuku wengiiiTanzania kuna Raw Bank au una $ account BOA bank ?tufanye muamala? [emoji23] [emoji23]
ama MTU alete jina akavute Western Union [emoji12] [emoji12] ,tupunguze kelele,ili mambo mengine yaendelee
Kabisa ,kabisa Mkuu ,penye uzia pitisha rupiaMzee PESA haijawahi mwangusha mtu yoyote yule....
Shekeli ni hatari sana!Kabisa ,kabisa Mkuu ,penye uzia pitisha rupia
Mwambie mwambie baeleze baelezeeww baache ubahiliMzee mwenzangu ,nakuaminia hutoniangusha
Mmmh mganga asije nitoa roho tu ,aga kbs kwa mgangaWozeeeewewwr ngoja nikuje faster kwa pm hahahha sitaki kumwaga mchele kwa kuku wengiii
Hahaha hatari lkn salamaShekeli ni hatari sana!
Siyo ubahili, mimi ni kapuku.
Hahaha ,mganga anachungulia kote koteNdo maana nimekuja chembaaaa
Swadakta, uzuri ss makapuku ,kuhonga hatuogopi ,hasa tukishauza mazao na mifugo yetuSiyo ubahili, mimi ni kapuku.
Japo miwa nikiuza ng'ombe, miwa na pensheni naweza honga hata Prado.