Hornet mambo!Mmmmmmmmmmhhh
Hana hata shilingi anatumia freebasics na facebook ya bureMshana wako kwani anazo ?
Kweli kabisaa wekaaa alafu mwambie asisahau kuweka evidence [emoji23][emoji23]
Nimelike tayari........Kama hauna pesaaaa kama mimi gonga like hapaa.[emoji123]
Kama wote mnamapesa mthibitishienI demiss cha mdeko kwa kumpa Mkwanja[emoji23]
Hahaahaha hiyo siyo sababu sababu ni kutuma madorali ili niamini unapesa huko unatoka nje ya madaaaHata wewe weka namba yako ya simu ya kweli, picha yako ya kweli ukionekana kwanzia juu hadi chini, njemba zitakutumia pesa hata dakika 5 nyingi.
Yaani ana account Llyods Bank, unaifahamu wewe ???Picha haijafunguka bado kwahiyo sijaona ni nn