Eti ni kweli ?

Kwa dunia ya Leo 75 % ni kwel
Japo kwa mm nikigundua naogelea na mtu,nachukua hatua mubashara
 
unajua maana ya mubashara au unaropoka tu ujulikane na wewe hilo neno unalijua??
Ungeniuliza y nimetumia hilo neno,uwanja wa kujifunza ni mpana sana,nenda kwenye computer translation
 
Mkuu.....
Naomba nikuje niogelee huko ulipo...[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…