Eti ni kweli..!!!!!!

HMJ

Senior Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
157
Reaction score
21
Wakuu naomba munijuze kuna tetesi huku mtaani kwamba wizara ya elimu inachagua wanafunzi waliopata four za 26,27,28 wanachaguliwa moja kwa moja kujiungana uwalimu na upolisi kuanzia wiki ya kesho?

Kama kuna ukweli wowote naombeni munijuze...!!!!


Ahsanten...!!!!
 
lakin je kuna ukweli wwte kuhusu hilo?
 
km ulituma maombi NA unaufaulu uO Utachaguliwa.post hupat bila kuomba na ndo manawaliongeza Mda wa maombi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…