HMJ
Senior Member
- Apr 24, 2013
- 157
- 21
Wakuu naomba munijuze kuna tetesi huku mtaani kwamba wizara ya elimu inachagua wanafunzi waliopata four za 26,27,28 wanachaguliwa moja kwa moja kujiungana uwalimu na upolisi kuanzia wiki ya kesho?
Kama kuna ukweli wowote naombeni munijuze...!!!!
Ahsanten...!!!!
Kama kuna ukweli wowote naombeni munijuze...!!!!
Ahsanten...!!!!