Eti ni Mwezi mchanga?

Eti ni Mwezi mchanga?

b191

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
742
Reaction score
1,031
Habari wandugu!

Nimekuwa nikipitia comments kadhaa humu jamvini.

Siku za hivi karibuni kuna neno linatumika sana humu jamvini hususani kama mada inamhusu ndugu yangu mmoja hivi.

Wengi husema eti ni "MWEZI MCHANGA"

Samahani naomba tu kujua,

1. Ni KWELI au SIKWELI?

2. Ni matukio au maamuzi gani ambayo yamefanyika mwezi ukiwa mchanga na yanadhihirisha hili?

Pia naomba tufanye utafiti juu ya matukio au maamuzi yanayotokea wakati mwezi ukiwa mchanga na utuambie hapa.


NB:Subscribe hii Mada ili kila panapotokea Mwezi unapokuwa mchanga upate updates.


Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom