Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Okiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,kumbe ndio weweeeeeeeeeeeeee,nitakutembelea muda si mrefu kwenye blog yako.Nimeogopa kidogo tu nilipotazama muda uliojiunga na idadi ya post zako nikajua huyu lazima ni Asprin huyu.Usiwe na shaka mama karibu sana,mimi ndio mtakatifu halafu sijaoa bado Madame B , Ruttashobolwa na Nicas Mtei mkinikwoti leo halali mtu....
Morning hoyeeeee..... wapi wifi langu la ukwenheee!!! mwaka lazima kieleweke ili mwakani ndimu na pemba zihusikeee Madame B bado umelala?????
Hahahaha! Nakupendaga manake una maakili sana Nicas Mtei !
kuna kitu unataka kubeba?
Kwa mamlaka niliyopewa na niliyojipa, nakutoa rasmi kwenye hizi tuhuma za kizushi na wakati huohuo Nicas Mtei anakuwa warned kwa hii first degree misconductmie tena? Asprin hebu kuja umtoe mwalimu wako kwennye hizi tuhuma !
Nimeshaanza kuzeeka km Bishanga na Dark City halafu nimeona wanga wengi. Hapa nalimiss penzi lako na cash tu.
Itabidi weekend tuhamie jukwaa la wakubwa tukashtue kidogo The secretary siunajia ya kale hayanuki
Nipo dada, nilikuwa nasoma mchezo maana charminglady kuw ahumu kuna waume za watu nisije vamia koloni la watu nikatolewa ngeu, hapa najaribu kusoma mchezo
Kuna mkaka anaitwa Ruttashobolwa na tedo naona kama vile wananinyatia, je wana wenyewe hao au nijitwalie mmoja?