Eti, nikalale wapi?

Mkuu ulikosea ungepokea simu ya Miss chaga ukalale kwake kesho mida ya jioni ungerudi home
 
yaani mi nikiamka kabla sijafungua geti namwagia kitanda maji kabisa ulale kwenye kochi na hang over zako
 
ungekwenda kulala kwa huyu
wala bibi asingekuuliza ulikuwa wapi hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Aksante sana Babu Asprin... umenipa tabasamu murua ijumaa hii tulivu. Ubarikiwe sana...
 
Last edited by a moderator:
Aksante sana Babu Asprin... umenipa tabasamu murua ijumaa hii tulivu. Ubarikiwe sana...

Usijali, leo shetani akinipitia tena ntakuja kulala kwako ili nikupe tabasamu live...

Ahsante kwa baraka zako.

Mungu kakusikia.
 
Niliamkia mapema kaburini kuupaka manukato Mwili wa Bwana, lo and behold nakuta jiwe liko pembeni. Bwana Yesu kafufuka, so you can imagine furaha chereko na nderemo
Amina.... yaani ulivyotoka tu ukaswekwa lupango. Mods nimewakubali, wana jeuri kama Ponsio Pilato

Hi hi hi.......ukome.......... ungelala counter.........
Zena alishachukuliwa na Nicas Mtei. Ningelala na nani?

hapa mkuu huna jinsi inabidi tu ukalale kwa shetani....si alikuwa anakupa ushauri upige chini zile simu za my wife wako.
Hahahahaha shetani huwa ananiiingiza kwenye majanga hafai kulala naye

Yaani gesti hausi zote unakosaje pa kulala???
Khaaaaa.......!!

Kumekucha babu, pombe ina jeuri

Ahsante kwa taarifa tamu, umenipa PhD ya kuchepuka responsibly
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha babu Asprin jilaumu mwenyewe tu loh!
Kosa langu ni lipi???

Asprin ungekuja kulala hapa kaunta napo kunywaga mimi wanamalazi ya waliozzidiwa na pombe, walifungiwa mageti.. wanaongea kuliko wote .. kuna chumba maalumu,,, ila wanachanganya jinsia inabidi kutembea na condom incase of anything
Oh My God!! Msalimie mhalifu mwenzio Kaunga huko lupango. Mkome kuwa na viherehere kama wanafunzi wa sekondari waliomimbishwa (sous JK)

babu niahidi kunipa mjukuu kwanza mi nisolve ishu yako.bibi ni mshkaji wangu ntaenda kumpiga sound..kwa leo lala kwa zena tu..coz ana UDUMWI
Nimekupa Michelle ukachemka.... basi kamata ladyfurahia kama atakufaa....

Mpwa hujachonga tu ufunguo wa spea...au mama Matesha kabadili vitasa
Mpwa safari hii kaniweza.... kapiga komeo la ndani kwa geti. Neksti taim ntatengeneza ngazi.

Mkuu ulikosea ungepokea simu ya Miss chaga ukalale kwake kesho mida ya jioni ungerudi home
Hahahahaha.... dada yangu yule... Kharam kama kitimoto kwa Shehe.

Ulilala wapi asprin???
Huyu nayyyyeee.... tuma messsejjji

yaani mi nikiamka kabla sijafungua geti namwagia kitanda maji kabisa ulale kwenye kochi na hang over zako
Kheeeee..... mbona sura yako haifanani na roho yako?? Hebu twende PM nikakuambie kitu changu.

ungekwenda kulala kwa huyu
wala bibi asingekuuliza ulikuwa wapi hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ish.........:shocked::shocked::shocked::juggle::juggle:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…