Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina.... yaani ulivyotoka tu ukaswekwa lupango. Mods nimewakubali, wana jeuri kama Ponsio PilatoNiliamkia mapema kaburini kuupaka manukato Mwili wa Bwana, lo and behold nakuta jiwe liko pembeni. Bwana Yesu kafufuka, so you can imagine furaha chereko na nderemo
Zena alishachukuliwa na Nicas Mtei. Ningelala na nani?Hi hi hi.......ukome.......... ungelala counter.........
Hahahahaha shetani huwa ananiiingiza kwenye majanga hafai kulala nayehapa mkuu huna jinsi inabidi tu ukalale kwa shetani....si alikuwa anakupa ushauri upige chini zile simu za my wife wako.
Khaaaaa.......!!Yaani gesti hausi zote unakosaje pa kulala???
Kumekucha babu, pombe ina jeuri
Ahsante kwa taarifa tamu, umenipa PhD ya kuchepuka responsiblyHahahaahaaaaaaaa! Bibi alikosea kutumia mbinu za Kizamani kwa VETERAN kama wewe. Mimi bwana mbinu yangu kubwaa nakwambia NALALA MLANGO UKO WAZI, WE JICHELESHE UKUTE WEZI WAMEKOMBA KILA KITU AU WAMETUBAKA KABISAA NDO UFURAHI. (hAPO HUNA JEURI YA KULALA NJE LANGO LIKO WAZI LIMEEGESHWA TU. HATA BIAHAZISHUKI. :lol🙂
Ukifungiwa mlango si ndo inakuwa chizi karogwa tenaaa, maana unarudi asubuhi.
Kosa langu ni lipi???Ha ha ha babu Asprin jilaumu mwenyewe tu loh!
Oh My God!! Msalimie mhalifu mwenzio Kaunga huko lupango. Mkome kuwa na viherehere kama wanafunzi wa sekondari waliomimbishwa (sous JK)Asprin ungekuja kulala hapa kaunta napo kunywaga mimi wanamalazi ya waliozzidiwa na pombe, walifungiwa mageti.. wanaongea kuliko wote .. kuna chumba maalumu,,, ila wanachanganya jinsia inabidi kutembea na condom incase of anything
Nimekupa Michelle ukachemka.... basi kamata ladyfurahia kama atakufaa....babu niahidi kunipa mjukuu kwanza mi nisolve ishu yako.bibi ni mshkaji wangu ntaenda kumpiga sound..kwa leo lala kwa zena tu..coz ana UDUMWI
Mpwa safari hii kaniweza.... kapiga komeo la ndani kwa geti. Neksti taim ntatengeneza ngazi.Mpwa hujachonga tu ufunguo wa spea...au mama Matesha kabadili vitasa
Hahahahaha.... dada yangu yule... Kharam kama kitimoto kwa Shehe.Mkuu ulikosea ungepokea simu ya Miss chaga ukalale kwake kesho mida ya jioni ungerudi home
Huyu nayyyyeee.... tuma messsejjjiUlilala wapi asprin???
Kheeeee..... mbona sura yako haifanani na roho yako?? Hebu twende PM nikakuambie kitu changu.yaani mi nikiamka kabla sijafungua geti namwagia kitanda maji kabisa ulale kwenye kochi na hang over zako
Ish.........:shocked::shocked::shocked::juggle::juggle:ungekwenda kulala kwa huyuwala bibi asingekuuliza ulikuwa wapi hahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaa![]()
Ndo muda gani huu unanipa huu ushauri kuntu???
Hulali jirani??